Mtaalam
JF-Expert Member
- Oct 1, 2007
- 1,371
- 251
Nimesoma forwarded msg moja kwenye email yangu na nikakuta ina story sijui ni kweli ama nini yasema kuwa kuna mtoto wa miaka 10 alipata ukimwi kupitia tunda nanasi ambapo muuzaji mwenye UKIMWI alikata tunda hilo na kwa bahati mbaya akajikata na damu ikapita kwenye tunda lile na huyo kijana akala lile tunda baadae ikaja gundulika alipata kwa njia ile as wote nyumbani hawana ukimwi na ni mtoto wa miaka kumi so hajawahi kuhondomola!
Sasa mimi naamini hapa JF kuna wataalamu wa kila nyenjo naombeni msaada wenu na mchango wenu je ni kweli ukimwi waweza sambaa kwa njia hiyoooo??
I know even kwangu hiyo story imekaa ki usanii ila nataka nijue kuna possibility za it kusambaa hivyo??
If so then tumekwishaa!