Mtaalam
JF-Expert Member
- Oct 1, 2007
- 1,371
- 247
I have been hearing tory za vijiweni na news about watu flani flani n now nikisoma habari ya mtu mmoja hapa jf nimekumbuka tena hiyo habari nikaona kwa vile jf ni kama one of da main source ya sio tu information pia hata knowledge kwa baadhi yetu niulize hapa...
swali lenyewe ni hivii ni kweli kwa baadhi ya ndugu zetu ambao ni waathirika wenye uwezo kifedha..eti wanaweza kwenda nje na kubadilisha damu nzima ya mwili wao na kuwekewa damu mpyaa kabsaa dats why wanaweza kuishi kwa muda mrefu wakiwa na afya njema na its very impossible kugundulika kuwa ni waathirika...
kipengele bee ni kuwa je ni kweli kuwa yafikia time wanashindikana kabsaaa kubadilishiwa hiyo damu na ndio huwa mwisho wa wao kwenda njekubadilisha damu n ndipo huiishia kufa kwa ugonjwa wa moyo ambao kwa wakubwa wengi ndio huwa twaambiwa sie kina hohe haheeee??
kipengele chee ndugu daktari kama ni pocbo kutoa damu yooote kwanini akiwekewa damu nyingine hivo virusi bado viwepo??
swali la nyongeza mheshimiwa daktari ni yawezekanaje kutolewa damu yooote mwilini na bado ukawa hai??
ni hayo tuu ndugu mheshimiwaaa!!