Dawa ya Wezi wa viatu na ndala misikitini na kwingineko

Mtaalam

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2007
Messages
1,281
Points
1,225

Mtaalam

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2007
1,281 1,225
nimeshindwa kuiweka picha kamili lakini iko kwenye attached file hiyo wajimini

mnisamehe buree tuu ushamba huuu jamani
 
Idimi

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2007
Messages
11,952
Points
2,000

Idimi

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2007
11,952 2,000
nimeshindwa kuiweka picha kamili lakini iko kwenye attached file hiyo wajimini

mnisamehe buree tuu ushamba huuu jamani
Nimeshindwa kuamini hili suala! Is it that serious kwa sababu ya kuzuia wizi wa kandambili?
Ufafanuzi tafadhali!
 
Pundit

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2007
Messages
3,740
Points
1,225

Pundit

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2007
3,740 1,225
may be!!1ila dont u think hapo mtu hawezi iba ndala zako?atavaaje? i think ni kind of a joke
"Ulinzi" unapokuwa ghali kuliko kinacholindwa hapo kunakuwa na tatizo la "economic justification".Labda kama ndala ni artifacts fulani zenye historic significance au attachment ya kihivyo (e.g zilitembea kuunga mkono azimio lol, in which case they should be in a safe or museum anyway).
 
Mtaalam

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2007
Messages
1,281
Points
1,225

Mtaalam

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2007
1,281 1,225
"Ulinzi" unapokuwa ghali kuliko kinacholindwa hapo kunakuwa na tatizo la "economic justification".Labda kama ndala ni artifacts fulani zenye historic significance au attachment ya kihivyo (e.g zilitembea kuunga mkono azimio lol, in which case they should be in a safe or museum anyway).
hahaha nimecheka mie....bei ya ndala wakuta 800 kufuli lacheza na alfu kadhaaa!
 
Forum statistics

Threads 1,364,151
Members 520,667
Posts 33,306,922
Top