Kwa wanaohitaji Vyuo nje ya nchi

Mtaalam

JF-Expert Member
Oct 1, 2007
1,370
234
Habari za Weekend waTanzania wenzangu,

Natumaini mwaendelea vyema na shughuli za ujenzi wa Taifa letu.

Nimekua nikifuatilia jinsi wadogo zetu wanavyotaabika na masuala ya kutafuta na kupata vyuo nyumbani Tanzania, wengine hufanikiwa na wengine hushindwa na kuishia kulazimika kupoteza mwaka mzima wa masomo ama kulazimika kufanya course ambazo hawakutwahi fikiria kuja zifanya kwenye maisha yao.

Kwa wale wote wenye kuhitaji kufuatilia namna za kupata vyuo nchi za nje hasa Uingereza, Marekani, Finland, India, France na Uholanzi wanaweza wasiliana nami kwa barua pepe mtaalam4@gmail.com tayari kwa kupata msaada wa hapa na pale na pia kusaidiwa kupata admission kwa ajili yao ama ndugu zao wataabikao kwa course mbalimbali ziwe za masomo ya biashara, udaktari, masomo ya kompyuta, ama u engineer.

Naomba hii iwe kwa wale walio serious tu...

Wenu katika ujenzi wa Taifa.
Mtaalam
 
MJINI SHULE...Mbona nimekutumie e mail yangu haujanijibu?anyway weekend njema
 
funguka humu humu mkuu kwa msaada wa wengi...
 
check your inbox jamii01!
ni kweli mjini shule ni muhimu, nguvu mwake mashambani...!
hivyo tuitafute shule kwa bidii zote na nguvu zote
 
hao waliosoma nje ya nchi wamelifanyia nini taifa? Zaidi ya madudu kama ya product za chuo kikongwe tz? Kumbuka hata nape,chenge,masha pia walisoma nje
 
mkuu kingxvi, heshima kwako!

sio kila jambo katika ulimwengu wetu lahitaji kuhusishwa na siasa na pia siko kisiasa na ndio maana nikaleta habari hii kwenye jukwaa la elimu.

asante kwa mchango wako lakini ni vyema tukajitahidi kuwa positive thinkers zaidi kuliko kuzoea negativity kwenye kila kitu.
 
axel fowly... Nitafungaje kiujumla wakati needs za kila mtu zi tofauti tofauti?
 
tatizo ni kwenye kuwa sponsored na process nzima za accomodation pindi 2takapokuwa huko nje...wengine wazazi wetu hawana uwezo wa kutosha kifedha.
 
hao waliosoma nje ya nchi wamelifanyia nini taifa? Zaidi ya madudu kama ya product za chuo kikongwe tz? Kumbuka hata nape,chenge,masha pia walisoma nje

hata wewe ulisema umesoma nje!!! NA WEWE UMELIFANYIA NINI TAIFA??
 
Back
Top Bottom