Bongo Flava

Mtaalam

JF-Expert Member
Oct 1, 2007
1,370
234
mie naomba nyimbo hizi mbili
haoooo wa mwansiti na chidi,bado nipo nipo kwanza wa mwana fa
 
Kama kuna mtu ana video ya bado nipo nipo kwanza..wa mwana FA please naomba...nimpe mawasiliano anitumie....

Regards\
From Congo
 
MwanaFA - Bado Nipo/Naongea na Wewe has been added today to the playlist

Inspector Houron - Ndoa Haina Doa (Majibu ya Bado Nipo Nipo) - Added Today

Q-Chillah - Tutaonana Wabaya - Added Today

Ali Kiba - Dunia Imemtupa - Added Click here

Mwasiti ft. Chidi Benz - Hao - We are adding it today

Kama kuna mtu ana video ya bado nipo nipo kwanza..wa mwana FA please naomba...nimpe mawasiliano anitumie....

Regards\
From Congo

Video Exists but its to large for us to upload. Let me see what we can do about it.
 
Bongo flava muziki unavuma si mchezo,au siyo bana?

Hapa namaanisha bongo flava inawarusha watu wa kila pande za dunia.

Naomba nyimbo ya mtoto wa kichaga na maneno nawafunza zote za mh.Temba na chama kubwa na wanaume kazini zote za TMK Wanaume Family.Wewe utakaeziweka zile nilizotaja tutamshukuru sana atakuwa ametuburudisha zaidi.

Haya basi masela I think tuko pamoja kama sukari na chai,au vipi?
 
jamani last week nili attend concert ya Yossour N`Dour na Angelique Kidjo hapa dar.Nadhani wasanii wetu wanahitaji kujifunza sana kutoka kwa hawa legends
 
hey hizi nyimbo kwenye bongo flavour zimekaa muda saana, hakuna mtu mwenye track mpya aziadd, maana kila siku tukiopen nyimbo namba moja ni ya barnabas na pipi, for like 6 months now.
 
mimi ni mpenzi sana wa bongo fleava mbona siku nyigi zimepita hamjaupdate nyibo mpya mfano
1.so-so ya amini iwekeni bac naipenda
2.ile ya mwanamuziki Diamond jina limenitoka
 
Mimi naomba wimbo wa TASWIRA wa Mandojo na Domokaya waliomshirikisha Inspector Haruni
 
Back
Top Bottom