I think our boys need to approach this game as their world cup final, they have nothing to lose in this game. Ukicheza vizuri kwenye games kama hizi unajiwekea mazingira mazuri kupata soko ulaya, miracles do happen ie Chelsea V Barnsley, FA Cup 1/4 final 08, remember that?
kuja siku nne kabla jamaa wamekuja tour tu hiyo game ni matokeo katika safari yao,mana wakitoka hapa wanenda kisiwani kabisa Mauritius!!!!
kana,those things kama sijui barnsley na chelsea au na liverpool do happen kwa zile timu zinazocheza mpira...sio butu butua from no where mpira udunde nyavuni kama maximo atakavyo kutujaza ujinga sie!
Habari nilizozipata leo toka bongo ni kwamba wachezaji wa cameroon wamekuwa wakionekana viwanja mbalimbali wakijivinjari na machangu, haswa Etoo ambaye amekuwa akigombaniwa na dada zetu kama mpira wa kona kila anapotia mguu! Huu ni ushahidi wa yale yaliyosemwa na captain wao Rigobert Song kwamba wamekuja mapema ili wapumzike! Vijana wetu nahisi wana nafasi, lets wait tuone hiyo kesho itakuwaje.