could this be a joke? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

could this be a joke?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mtaalam, Oct 15, 2008.

 1. Mtaalam

  Mtaalam JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2008
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1,278
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  jana nilipokea msg sasa nikashindwa kuielewa niitake as a joke au ndio njia ya kuwakumbuka wapendwa wetu??

  it goes like this....

  " Huko Mbinguni leo kuna sherehe, vijana Complex na Vivian hatimaye wameamua kufunga ndoa....wageni rasmi ni mwalimu Nyerere na Karume. Mc ni Amina Chifupa. Kitengo cha burudani yupo John Mgema, Steve 2k, Tx Moshi na Omary Kopa.kitengo cha uchekeshaji yupo Max.Mkata keki ni Salome Mbatia.Kamati ya ulinzi yupo Chacha Wangwe.
  imebaki kadi moja je tukutumie?
  wasiliana na aliyeko kitengo cha kukaribisha wageni mheshimiwa Izrael
  "
   
 2. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #2
  Oct 15, 2008
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Fikiria kuwa miongoni mwa hayo majina yaliotajwa hapo wawili au mmoja wapo ni mzazi wako aidha baba yako au mama yako. Then ask yourself...? Is it utani au ndio njia mojawapo ya kuwakumbuka wapendwa wetu?

  Samahani lakini.
   
 3. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Tacky, wacky and utterly disgusting.
   
 4. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2008
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  some people have too much time in their hands
   
 5. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  atakae ishi milele nani .. only time will tell ... wait for your turn .. if your spirit will still be meandering in this world then you will taste the experience of knowing how your loved ones feel when someone utters anything against you .. or untimely reminds them of you..kwani wengine uliowataja hapo juu ni wazazi .. na watoto wao are participating fully here in Jf .. watajisikiaje kweli?

  Let the dead rest others have bearly gone for even a year and their loved ones still have raw wounds ... give them a break please ..

  I would recommend closure of this thread really.
   
 6. Mtaalam

  Mtaalam JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2008
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1,278
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  wajimini plz plz don get me vibaya...me too iliniuma kuipata dats why i wanted it kuja hapa nipewe mwongozo kimaadili!!!

  could any one help me on how to close a thread or if its possible akaifunga hii for me!

  samahanini kwa wale wooote niliowakosea or kwaza kwa namna moja au nyingine!
   
 7. Wakunyuti

  Wakunyuti JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2008
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Haiwezi ikawa ni utani...............may the almighty lord rest their souls in eternal peace.... Amen!
   
 8. BadoNipo

  BadoNipo Senior Member

  #8
  Oct 16, 2008
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 175
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni njia yetu sote, hakuna atakaeishi milele hapa duniani
   
 9. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2008
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Too bad to be a wish!!!

  aliyeandika hiyo msg kwa kweli amekosa utu kabisaaaaa........
   
 10. Utamaduni

  Utamaduni JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2008
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 1,198
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Hizo ndio faida na hasara za hii mitandao yetu ya simu. walipoanzisha Extreme watu wote walifurahia na ndipo sms za ajabu kama hiyo, nyingi za matusi na kadha wa kadha za kupotezeana muda na kujaziana inbox ktk simu zilipoanza kutoka, na kusambaa vibaya sana ktk simu za watu wote. mbaya zaidi sms nyingine ikiingia tu unashtuka na kufuta mara moja kwani haiwezi kukaa kny simu isije ikazima bure.

  kwa hao wanaotuma hizo sms (na uhakika ni watu wa mitandao ya simu, maana wanaziita fowarded sms, yan ukipata mtumie mwenzio) wanafanya hivi kama biashara bila kuangalia ni nini wanachoandika.

  did you see sms iliyoenea siku ya nyerere day ya kuombea mwinyi, mkapa, kikwete wafe kwa kuongozana na nyerere ili sikukuu zifuatane zote mwezi wa 10?

  so guys kwa wenye heshima ni bopra wasiwe wanazi foward ili wakose soko.
   
 11. Mtaalam

  Mtaalam JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2008
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1,278
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  mie hiyo ya kuombea wafe kwa kufuatana sikuipata ila niliipata hiyo ya majina hayo sasa mwanzoni nikawa naichukulia watu wameamua kukumbuka ila ikawa yagonga kichwani kukataa kuwa it cant b a nice way hata kama ni utani!
  tuzidi kuombeana tu lakini wajimini!
   
 12. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2008
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0


  Even me I got the same msg.A bit disgusting,a bit interesting.Sote tutafuata.
   
Loading...