about watulivu,wenye heshima zao na wa dini!!

Mtaalam

JF-Expert Member
Oct 1, 2007
1,370
234
nimekuwa nikiwaziaga sana abt watu flani flani katika jamii na leo niliposoma comments za naima , yo yo kwenye big brother thread nkashawishika kuuliza wana jamii forums kwa ujumla abt it..

it goes like this,je ni kwa nini wasichana wale wenye heshima zao na waonekanao ni watu wa dini flani wasio vicheche hawapapatikiwi na wanaume au hata salamu wala kutokewa kwa asilimia kubwa?na hata wanaume wa aina hizo nao kwa ujumla hawapaptikiwi na wanawake hata kidogo lakini wanaopapatikiwa kwa saaana ni wale ambao kwa namna moja au nyingine twaweza sema ni watu ambao hawajatulia?

naomba mnisaidie kwa hilo tuu
 
halafu swali la pili,wataalamu wengi wanashauri siku hizi usioe wala kuolewa na hawa watu wa dini saana ambao wengi wao unaweza kuta hata mambo ya mapenzi ni wageni kabsaa nikimaanisha walio bikira kwa mfano,as wanasema ukioana nao tu weye ndo utakua mwalimu wake lakini pindi akipotea njia kidogo akaonja chakula cha nje,yaani huyo atapotea vibaya mnooo na it will be very hard kumrudisha kwenye mstari

so yasemekana ni heri uoane na mtu ambaye keshajiangaikia weee kechoka ukicheche halafu yu mzima kiafya as ye hatakupa ma presha meeengi!

ya kweli hayoooo???
 
pengine wanawaheshimu kupita kiasi na kufikia kiasi cha kuwaogopa. May be hii ndio inawafanya watu wa aina hii "wasipapatikiwe", utaanzia wapi kuwapapatikia ilhali watu wao wanajiheshimu?
 
halafu swali la pili,wataalamu wengi wanashauri siku hizi usioe wala kuolewa na hawa watu wa dini saana ambao wengi wao unaweza kuta hata mambo ya mapenzi ni wageni kabsaa nikimaanisha walio bikira kwa mfano,as wanasema ukioana nao tu weye ndo utakua mwalimu wake lakini pindi akipotea njia kidogo akaonja chakula cha nje,yaani huyo atapotea vibaya mnooo na it will be very hard kumrudisha kwenye mstari

so yasemekana ni heri uoane na mtu ambaye keshajiangaikia weee kechoka ukicheche halafu yu mzima kiafya as ye hatakupa ma presha meeengi!

ya kweli hayoooo???

Hayo si ya kweli.
 
Wanao kua na heshima katika jamii wanazo ishi inakua vigum kupapatikiwa mfano mzuri nipale unapokutana na mtoto wa kike ambae amevaa mavazi ya kujiheshimu harafu sura yake ikaonyesha hali ya upole na kujiheshimu kama huna mazoea naye inakua vigum sana kumtokea utajiuliza maswali mengi sana hata kama ukimtokea lazima atakuzingua kulingana na alivyo jiweka nitofauti unapokua unaonekana machepele watu lazima wakupapatike wakijua kua ni rahisi kukubaliwa ombi lao kulingana na mazingira yako hata kama unamsimamo lakini lazima ukutane na changamoto ya kutongozwa hovyo kwani watu mara nyingi hudhani umeamua kua machepele ili kutengeneza mazingira ya watu kukufuata ili kukidhi haja zao
 
Back
Top Bottom