Upinzani kwenda mahakamani tena ni sawa?

Mtaalam

Mtaalam

JF-Expert Member
1,281
1,225
Je ndugu zanguni pamoja na kuwa Upinzani umezidi sana kwa kwenda mahakamani mara kwa mara..je kwa kesi ya sasa hivi sababu iliyowapeleka mahakamani mwaionaje??Ni haki uchaguzi kusimamishwa?watashinda kesi?
 
L

Lawson

Member
69
0
watafanyiwa kama Mtikila, watashinda ila itatumika sheria kuwa nani anadhilika zaidi kutokana na kusitishwa kwa uchaguzi? hapo serikali itashinda. ila wanachodai nisawa maana hata mimi kadi yangu ya kupiga kura imepotea hivyo upinzani umekosa kura yangu.
 
Mtaalam

Mtaalam

JF-Expert Member
1,281
1,225
ndo yale yale kupigana na ukuta..waumia mwenyeeeewe!lets wait n see
ila kwa visingizio hivyo vya serikali as to nani anadhurika zaidi then ni bora waseme tuu kuwa hayo ma uchaguzi yatakua sio ya haki wala ya kidemokrasia ijulikane kote ulimwenguni
 

Forum statistics


Threads
1,424,864

Messages
35,074,336

Members
538,128
Top Bottom