Itifaki ya Bungeni leo...

Itifaki ya Bungeni leo...

Mtaalam

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2007
Posts
1,371
Reaction score
259
Habarini wapenda mada za mambo yetu..

kwa waliofanikiwa angalia shughuli za ufungwaji wa bunge letu kama walinotice mkuu wa nchi alipotia timu bungeni, aliposhuka tu kwenye gari alipokelewa na mwanajeshi alikua amevaa sare kama ya mkuu wa majeshi, na sio yule mpambe wake..

Aidha kipindi cha mapicha picha mwanajeshi yule yule au mkuu wa majeshi alikua anacoordinate na walinzi wa mkuu wa nchi na kutoa maelezo..

Limekaaje hili wataalamu?
 
Back
Top Bottom