Search results

  1. Idugunde

    Pro-Chadema mbona huwa mnafurahi na kumdhihaki Pascal Mayalla anapokosa uteuzi?

    Kwamba pamoja na maandiko yake yenye akili yaliyoenda shule na ambayo huwa ni msaada mkubwa kwa serikali. Bado huwa hateuliwi. Lakini cha ajabu member wengi wa JF ambao ni pro-Chadema huwa wanamdhihaki na kumnyodoa. Why? Mnataka nini?
  2. Idugunde

    Nimemshukuru Mungu kwa maisha ya Hayati Magufuli kwa ujenzi wa Daraja la Mto Wami

    Wengi wao ni Wachaga na sasa hivi wanateleza juu ya daraja mto wami kuliko huko nyuma walivyokuwa wakihangaika kwenye kile chembamba. Leo hii kwenda Moshi wanateleza tu bila hofu. Alihakikisha pesa zote za umma zinaingia kwenye mfuko wa taifa yaani consolidated fund. Hapa ndipo zikajengwa...
  3. Idugunde

    Mbowe: Tunaweza kufanya maandamano ya shari endapo hatutosikilizwa

    Moderator naomba muiondoe hii mada. Sio mada niliyopost. Hii ni ya kwenu binafsi kwa matakwa yenu
  4. Idugunde

    Mbowe: Tunaweza kufanya maandamano ya shari endapo hatutosikilizwa

    Acha kujitoa fahamu we pimbi. Maandamano ya shari yakoje? Zaidi ya kubeba siraha, kuharibu mali na amani nchi. Pumbavu mkubwa wewe. Shwaini.
  5. Idugunde

    Mbowe: Tunaweza kufanya maandamano ya shari endapo hatutosikilizwa

    Unajadili mada gani? Umekosea njia . Au hujasoma kichwa cha habari vizuri?
  6. Idugunde

    Mbowe: Tunaweza kufanya maandamano ya shari endapo hatutosikilizwa

    Mnataka kubeba bunduki na pistol
  7. Idugunde

    Mbowe: Tunaweza kufanya maandamano ya shari endapo hatutosikilizwa

    Wanataka wabebe mapanga na shotgun
  8. Idugunde

    Mbowe: Tunaweza kufanya maandamano ya shari endapo hatutosikilizwa

    Katika maandamano yaliyofanyika Mwanza, Februari 16, 2024, Freeman Mbowe amesema "Tuna uwezo wa kufanya maandamano ya amani, lakini vilevile tuna uwezo wa kufanya maandamano ya shari. Nawaambia polisi na usalama wa taifa, waelezeni mabosi zenu, sisi kitu tunachokisema viongozi wa CHADEMA...
  9. Idugunde

    Tayari ziara za Makonda zimekipa ushindi mkubwa CCM mwaka 2025. Kura za raia wanyonge walioonekana kutelekezwa sasa zimerudi CCM

    Hili halina ubishi maana sasa imani ya wanyonge wanaonewa kila siku imerudi kwa kasi mpya kwa wanaCCM. Kwa mantiki hii CCM itapata ushindi mkubwa mwaka 2025 kwa kila kada ya ugombea. Pia hata WanaCHADEMA watampigia kura rais. Maana bil 2.7 za ruzuku anatafuna Mbowe na genge lake huku...
  10. Idugunde

    CHADEMA wamepotezwa na Paul Makonda

    Election 2020
  11. Idugunde

    CHADEMA wamepotezwa na Paul Makonda

    Nakujua vizuri
  12. Idugunde

    CHADEMA wamepotezwa na Paul Makonda

    Ndio maana hata maandamano yao yalidorola. Wananchi wanahitaji mtu kama Paul Makonda ambaye anawasikiliza na kuwapa comfort kwa madhira wanayoyapata. Sasa wakimponda kwa wananchi ndio wanazidi kupotea. Mbaya zaidi hata bil 2.7 za ruzuku anatafuna Mbowe na jamaa zake akina Pambalu.
Back
Top Bottom