Tayari ziara za Makonda zimekipa ushindi mkubwa CCM mwaka 2025. Kura za raia wanyonge walioonekana kutelekezwa sasa zimerudi CCM

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Hili halina ubishi maana sasa imani ya wanyonge wanaonewa kila siku imerudi kwa kasi mpya kwa wanaCCM.

Kwa mantiki hii CCM itapata ushindi mkubwa mwaka 2025 kwa kila kada ya ugombea.

Pia hata WanaCHADEMA watampigia kura rais. Maana bil 2.7 za ruzuku anatafuna Mbowe na genge lake huku Makamanda wakipiga myayoo.
 
Hakuna mwenye akili Timamu anayeweza kuwapa kura ya ndio CHADEMA ambao wanafanya kazi ya udalali wa siasa.
 
Hili halina ubishi maana sasa imani ya wanyonge wanaonewa kila siku imerudi kwa kasi mpya kwa wanaCCM...
Hakuna mwenye akili Timamu anayeweza kuwapa kura ya ndio CHADEMA ambao wanafanya kazi ya udalali wa siasa.

Kujitekenya na kucheka wenyewe. Dhalimu magu alikuwa na mafuriko fake ya hivi hivi, mwishoni akaona apore uchaguzi.
 
Hili halina ubishi maana sasa imani ya wanyonge wanaonewa kila siku imerudi kwa kasi mpya kwa wanaCCM.

Kwa mantiki hii CCM itapata ushindi mkubwa mwaka 2025 kwa kila kada ya ugombea.

Pia hata WanaCHADEMA watampigia kura rais. Maana bil 2.7 za ruzuku anatafuna Mbowe na genge lake huku Makamanda wakipiga myayoo.
Kumbuka wapinzani watatumia hoja( matatizo) yanayoibuliwa na Makonda kuwaelimisha Watanzania kuwa CCM imeshindwa!! ogopa mtu anae Kaa kimiya wakati unapayuka!!
 
Hakuna mwenye akili Timamu anayeweza kuwapa kura ya ndio CHADEMA ambao wanafanya kazi ya udalali wa siasa.
Wenye akili timamu, wajua kuwa kuwa, hao wote ambao wameshindwa kuwajibika. Ni makada wa CCM, hivyo wenye akili timamu wanaona ubovu wa CCM. wajinga ndio waichagua CCM!
 
Hili halina ubishi maana sasa imani ya wanyonge wanaonewa kila siku imerudi kwa kasi mpya kwa wanaCCM.

Kwa mantiki hii CCM itapata ushindi mkubwa mwaka 2025 kwa kila kada ya ugombea.

Pia hata WanaCHADEMA watampigia kura rais. Maana bil 2.7 za ruzuku anatafuna Mbowe na genge lake huku Makamanda wakipiga myayoo.
Katatua kero ngapi kwani.
Kama Chadema wamekula ruzuku 2.7b, CCM nao wamekula ngapi? Na kwani ruzuku kazi yake ni nini?
#kaziiendelee
 
Kwani hao raia walitelekezwa na serikali ya CHADEMA ?!
Yaani kuna nyuzi unasoma mpaka unajiuliza hao walioziandika kweli wana utimamu wa akili!!??

Hili tatizo la akili kwa wana CCM inabidi liangaliwe kwa umakini mkubwa, maana linaathiri nguvukazi ya taifa letu.

Mfano,wiki jana nimekutana na vijana watatu wamekuja kuomba kazi kwenye moja ya vitega uchumi vyangu huko Mloka - Rufiji, na wote eti wamekuja na kadi za CCM kama sehemu ya viambata vitakavyoonyesha jinsi wanavyo "mchawia" Mh. Rais, na kwa kuwa tu waliambiwa hicho kitega uchumi kiliwahi kutembelewa na mbunge wa Rufiji!

Kama nchi tunakuwa na vijana ambao ubunifu, uchapakazi, uaminifu na uadilifu kwao sio vya muhimu ila kadi ya chama, kamwe tusitegemee kama taifa kusonga mbele.
 
Hili halina ubishi maana sasa imani ya wanyonge wanaonewa kila siku imerudi kwa kasi mpya kwa wanaCCM.

Kwa mantiki hii CCM itapata ushindi mkubwa mwaka 2025 kwa kila kada ya ugombea.

Pia hata WanaCHADEMA watampigia kura rais. Maana bil 2.7 za ruzuku anatafuna Mbowe na genge lake huku Makamanda wakipiga myayoo.
Ni kweli kabisa yaani natamani nitoke barabarani nipige mayoweeeee kuhusu umahiri wa Makonda. Hakika CCM tunajua kubadili upepo. Hii nafasi walikuwa nayo akina Mbowe. Cha kwanza baada ya kifo cha Dkt Magufuli walitakiwa na mtu wa strategy awaelekeze msimamo wao, walitakiwa baada ya kuona CCM wamemgeuka Dkt Magufuli wakiongozwa na Dkt Samia kwa kauli zake za kubeza na dhihaka dhidi ya Dkt Magufuli walipaswa wao wamlilie, wafanye hata maombolezo ya miezi kadhaa, waende chato wajifanye kulia, then wangekuja na strategy ya Makonda ya kusikiliza wananchi na shida zao huku wakichangisha watu na kutumia wanasheria walipo kitaa wengi ambao hawana kazi kisimamia hizo
Kesi etc. Ila sasa hahahaha vichwa maji eti yanamdhihaki Dkt Magufuli hahaha, Makonda keshaweza yote na Dkt Samia sasa keshasafishika ni msafi kabisa na hakuna anayekumbuka tena dhihaka zake zidi ya Dkt Magufuli pamoja na yeye kuwa awamu ya 5 chini ya bosi wake. Hakuna mtanzania anayekumbuka kuwa Makamba alihujumu TANESCO ili kumharibia Dkt Samia aonekane hajui kazi hahaha ila siasa acheni tu. Sisi ni Dkt Samia tu 2025.
 
Ujinga ni tatizo kubwa sana nchi hii.Sio lazima kuuonyesha hadharani.
 
Yaani kama kura zinapatikana na kimsifia yule dhalimu, acha cdm wasizipate. Tunataka tu tume huru ya uchaguzi matokeo halali yatangazwe.
 
CCM Inavyochukiwa Huku Mtaani Sijui! Haki Kabisa Ikitendeka CCM Out
 
Hili halina ubishi maana sasa imani ya wanyonge wanaonewa kila siku imerudi kwa kasi mpya kwa wanaCCM.

Kwa mantiki hii CCM itapata ushindi mkubwa mwaka 2025 kwa kila kada ya ugombea.

Pia hata WanaCHADEMA watampigia kura rais. Maana bil 2.7 za ruzuku anatafuna Mbowe na genge lake huku Makamanda wakipiga myayoo.
Bado hujasema! Ccm haijawahi na haitawahi kutegemea sandukua kura kubaki madarakani kwani huo sio utamaduni wao! Usidanganye!
Hilo la ruzuku lisikuumize Sana kwani haya ccm wanapata ruzuku na sijao a popote ukihoji matumizi yake. Na wanapokula hiyo ruzuku ni Makonda na kinana na wewe mpiga mbona upon paleee midomo imekukauka Kama umelamba jivu na hausemi!
 
Back
Top Bottom