Pro-Chadema mbona huwa mnafurahi na kumdhihaki Pascal Mayalla anapokosa uteuzi?

Kwamba pamoja na maandiko yake yenye akili yaliyoenda shule na ambayo huwa ni msaada mkubwa kwa serikali. Bado huwa hateuliwi.

Lakini cha ajabu member wengi wa JF ambao ni pro Chadema huwa wanamdhihaki na kumnyodoa . Why?

Mnataka nini?
Tunamdhihaki kvp wkt ninyi ccm ndo mnadhihaki kwa kumnyima uteuzi?? Yaani anaipambania ccm lkn kikifika kipindi cha uteuzi mnamdhihaki kwamba ni sukuma gang hafai kuwa kiongozi
 
Kwamba pamoja na maandiko yake yenye akili yaliyoenda shule na ambayo huwa ni msaada mkubwa kwa serikali. Bado huwa hateuliwi.

Lakini cha ajabu member wengi wa JF ambao ni pro Chadema huwa wanamdhihaki na kumnyodoa . Why?

Mnataka nini?
Kwani hao chadema ndo wanaoteua???
 
Kwamba pamoja na maandiko yake yenye akili yaliyoenda shule na ambayo huwa ni msaada mkubwa kwa serikali. Bado huwa hateuliwi.

Lakini cha ajabu member wengi wa JF ambao ni pro Chadema huwa wanamdhihaki na kumnyodoa . Why?

Mnataka nini?
Siyo wanaChadema tuu wanaofurahi, hata CCM wenzake hufurahi sana akikosa teuzi.
Angalia alivyogombea, CCM wote wale wajumbe walimpa kura moja.
 
Back
Top Bottom