Search results

  1. I

    Uzinduzi wa kitabu

    Kitabu "JUHUDI NA CHANGAMOTO" Kilicho andikwa na Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislaam nchini Sheikh Ponda Issa Ponda kitazinduliwa tarehe 04/09/2022. Uzinduzi wa kitabu hicho utafanyika katika hafla ya Uhamasishaji Uandishi wa Vitabu kwa Viongozi Nchini. Kitabu kitapatikana kwa Tsh...
  2. I

    Profesa Malima: Kwanini nimejitoa CCM

    KUTOKA MAKTABA KUU Feb: 15, 2022. Na Sheikh Ponda Issa Ponda HOTUBA YA RAIS SAMIA NA PROFESA MALIMA “Kuna makundi wanayoyafanya ndani ya serikali wanayajua. Makundi hayo yanageuka na kusema Serikali ya awamu ya sita ufisadi umerudi, mambo yako ovyo, kumbe wao ndio wako ovyo. Mambo hayo (ya...
  3. I

    Sheikh Ponda: Sherehe za Mapinduzi zichunguzwe

    SHEREHE ZA MAPINDUZI ZICHUNGUZWE Na Sheikh Ponda Issa Ponda IFIKAPO Januari 12, 2022, tutashuhudi watu wakisherehekea Mapinduzi yaliyofanywa visiwani Zanzibar mwaka 1964. Ni vizuri tujadili japo kwa ufupi tukio hilo. Zanzibar ilifanya uchaguzi wa nne wa kidemokrasia (wa vyama vingi), Julai...
  4. I

    Ziara ya Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania gereza la Arusha

    Shura ya Maimamu Tanzania TAARIFA YA MASHEIKH WA GEREZA LA ARUSHA LEO 11.10.2021. Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda amefanya ziara leo kuwajua hali Masheikh waliopo katika Gereza Kuu la Arusha Kisongo. Masheikh hao na waumini wao wapatao 61, walikamatwa mwaka...
  5. I

    Barua kwa Waziri wa Katiba na Sheria: Tamko la uhalali wa ndoa ya Kiislamu

    Bismillahir Rahmanir Rahiim JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAMU TANZANIA Barua Pepe- jtkt.tz@gmail.com S.L.B, 2055, Dar es Salaam Kumb: JTKT/WKS/B1/21/F-SHR. 31. 08. 2021. JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. WAZIRI WA SHERIA NA MAMBO YA KATIBA S.L.P. 315, DODOMA. YAH: TAMKO LA UHALALI WA NDOA YA...
  6. I

    Tamko la Shura ya Maimamu kufuatia Jeshi la Polisi kuwashikilia Viongozi wa CHADEMA

    SHURA YA MAIMAMU TANZANIA TAMKO LETU KUFUATIA JESHI LA POLISI NCHINI KUWASHIKILIA VIONGOZI WA CHADEMA Shura ya Maimamu Tanzania tumefuatilia kwa kina tukio la Jeshi la Polisi kuwakamata viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendrleo CHADEMA. Tumejiridhisha tukio hilo ni ukandamizaji wa...
  7. I

    Waraka wa Shura ya Maimamu Tanzania kuhusu kuachiwa Masheikh wa Uamsho

    SHURA YA MAIMAMU TANZANIA *WARAKA WA KUTOLEWA UAMSHO TAREHE 19 JUNI 2021* UTANGULIZI: Suala la kukamatwa Masheikh maarufu kwa jina la “Masheikh wa Uamsho” (2013), na kuachiwa kwao huru (2021), ni tukio kubwa Tanzania. Kwa sababu kadhaa zikiwemo za ubinadamu, haki na nafasi ya Masheikh katika...
  8. I

    Awamu ya mwisho ya Masheikh 11 wa “Uamsho”wametoka gerezani leo

    Bismillahir Rahmaanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA MASHEIKH WENGINE 11, WAMETOKA ADHUHURI YA LEO 17.06.2021 Awamu ya mwisho ya Masheikh wa “Uamsho”wametoka gerezani leo. Masheikh 6, kati ya waliobaki wamewasili Bandarini Unguja saa 12:30, jioni ya leo. Aidha waliobaki wawili...
  9. I

    Gazeti la Serikali “Habarileo” halijui kama Masheikh wameachiwa huru

    GAZETI LA SERIKALI “HABARILEO” HALIJUI KAMA MASHEIKH WAMEACHIWA HURU Na Sheikh Ponda Issa Ponda Takriban Magazeti yote makubwa ya leo habari kubwa ni tukio la kuachiwa huru Viongozi wakubwa wa Dini maarufu kwa jina la “Masheikh wa Uamsho”. Kwa namna ya pekee gazeti la Serikali halina kabisa...
  10. I

    Watuhumiwa wengine 16 katika kesi iliyokuwa inawakabili Masheikh wa Uamsho wameachiwa

    Bismillahir Rahmaanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA MASHEIKH WENGINE WAACHIWA HURU Watuhumiwa wengine 16 katika kesi iliyokuwa inawakabili Masheikh wa Uamsho wameachiwa leo. Shura ya Maimamu Tz itaendelea kuwapa taarifa kadiri itakavyo kuwa na baada ya kujiridhisha Ibrahimu Zuberi Mkondo...
  11. I

    Masheikh wa Uamsho wafutiwa kesi, warejea uraiani

    Bismillahir Rahmaanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA SHEIKH MSELEM SHEIKH FARID WAKO NYUMBANI ZANZIBAR Masheikh zetu wawili wako majumbani kwao na familia. Tutaendelea kukupeni taarifa awamu kwa awamu. Lengo ni kutoa taarifa za kweli na zilizozingatia mambo yote muhimu. Aidha viongozi wa...
  12. I

    Sheikh Ponda ampongeza Mkurugenzi mpya wa mashtaka(DPP) kukutana na Masheikh wa Uamsho Gerezani

    SHEIKH PONDA AMPONGEZA MKURUGENZI MPYA WA MASHTAKA KUKUTANA NA MASHEIKH GEREZANI Na Ibrahim Mkondo Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini Sheikh Ponda Issa Ponda amefurahishwa na ziara ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) Sylvester Mwakitalu, katika gereza Kuu Ukonga jijini Dar...
  13. I

    Shauri la Masheikh limeanza kusikilizwa leo Mei 31, 2021

    Bismillahir Rahmaanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA KWA MARA NYINGINE BAADA YA MASHEIKH KUSHINDA MAHAKAMA YA RUFAA, LEO 31. 05. 2021, SHAURI LAO LIMEANZA KUSIKILIZWA MAHAKAMA KUU Shauri limesikilizwa leo kwa washitakiwa kusomewa mashitaka 11 na kisha kuyajibu. Washitakiwa wameyakana...
  14. I

    Kesi ya Masheikh wa Uamsho yaahirishwa baada ya Jamhuri kuomba udhuru tena

    Bismillahir Rahmaanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA KESI YA MASHEIKH LEO TAREHE 26.05.2021, IMEAKHIRISHWA BAADA YA UPANDE WA JAMUHURI KUOMBA UDHURU TENA Shauri la Masheikh lililopangwa kuendelea kusikilizwa leo limeakhirishwa baada ya upande wa Jamhuri kuomba kupewa muda kwa sababu ya...
  15. I

    Kesi ya Masheikh: Mawakili wa Jamhuri waomba muda kuongeza nguvu

    Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA KESI YA MASHEIKH LEO TEREHE 20.05.2021: UPANDE WA JAMHURI UMETOA UDHURU Shauri la Masheikh lililomalizika jana katika Mahakama ya Rufani Tanzania, leo limerudishwa Mahakama Kuu kwaajili ya kusikilizwa. Shauri hilo sasa litasikilizwa...
  16. I

    Kesi ya Masheikh; Mahakama ya Rufaa yatupilia mbali rufaa ya Jamhuri kutaka mashtaka 14 yaliyofutwa Mahakama Kuu kurudishwa

    Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA MASHEIKH WAPATA USHINDI MKUBWA MAHAKAMA YA RUFAA LEO Hukumu ya rufaa ya Jamhuri dhidi ya Masheikh imesomwa leo katika Mahakama ya Rufaa Tanzania. Majaji watatu wa Mahakama hiyo wametupilia mbali rufaa ya upande wa Jamhuri ya kutaka...
  17. I

    Hukumu ya kesi ya Masheikh kutolewa Mei 19, 2021

    Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA HUKUMU YA MASHEIKH MAHAKAMA YA RUFAA KESHO Baada ya Majaji watatu wa Mahakama ya Rufani Tanzania kujipinda kwa siku 11, wakisoma mjadala kati ya Mawakili 11, wa upande wa Jamhuri na Mwakili 9, wanao watetea Masheikh, sasa wamekamilisha...
  18. I

    Sheikh Ponda atoa ujumbe mzito

    Shuura ya Maimamu Nchini kwa kushirikiana na Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Nchini, imeandaa Baraza la Eid lililofanyika katika Ukumbi wa ......uliopo katika Masjid Mtambani Kinondoni-Dar es Salaam. Baraza hilo limehudhuriwa na Waumini wa Dini ya Kiislamu na Masheikh mbalimbali. Miongoni mwa...
  19. I

    Mahakama ya Rufaa yasikiliza Rufaa ya Jamhuri dhidi ya Masheikh wa Uamusho

    Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA MAHAKAMA YA RUFAA YA SIKILIZA RUFAA YA JAMHURI DHIDI YA MASHEIKH Leo tarehe 07/05/2021 Mahakama ya Rufaa chini ya Majaji watu imesikiliza Rufaa ya Jamhuri dhidi ya Masheikh inayo pinga Hukumu ya Mahakama Kuu iliyofuta mashitaka 14 kati ya...
  20. I

    Kesi ya Masheikh yaitwa Mahakama Kuu

    Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA MASHEIKH WAITWA MAHAKAMA YA RUFAA TANZANIA Habari njema. Baada ya Jamhuri kukata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu wa kuyafuta mashitaka 14, kati ya 25, na kufanya kesi dhidi ya Masheikh ibaki na mashitaka 11, Mahakama ya Rufani leo...
Back
Top Bottom