kuachiwa huru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Video: Dada wa Bilionea Msuya aangua kilio Mahakamani baada ya Mke wa Msuya kuachiwa huru

    Ndugu wa Marehem bilionea Msuya akilia mahakamani baada ya washtakiwa wa mauaji ya Aneth Msuya kuachia huru na Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam leo Februari 23. Pia soma: Mke wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haikumkuta na hatia Dar: Mke wa Bilionea Msuya akutwa na Kesi...
  2. Erythrocyte

    Rufaa ya DPP kupinga kuachiwa huru kwa Sabaya na wenzake kusikilizwa leo

    Rufaa ya DPP dhidi ya Ole Sabaya , ya kupinga kuachiwa huru inaanza kusikilizwa leo . Mitaani huwa tunasema hivi , " HAIJAISHA MPAKA IISHE " --- Mahakama ya Rufani leo Novemba mosi, 2023 imepanga kusikiliza rufaa ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini, (DPP) dhidi ya aliyekuwa mkuu wa wilaya ya...
  3. Sildenafil Citrate

    Lengai Ole Sabaya aachiwa Huru kwa sharti la kutofanya kosa la Jinai kwa kipindi cha mwaka mmoja

    Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, ambaye amekuwa akikabiliwa mashtaka saba ikiwemo uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na kuongoza genge la uhalifu leo Aprili 05, 2023 ameachiliwa huru. Taarifa zaidi zitakujia hapa hapa baadae. Chanzo: Jambo...
  4. BARD AI

    Wanandoa watimua mbio Mahakamani baada ya kuachiwa huru kwa kesi ya Bangi

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewafutia kesi na kuwachia huru watu watatu wakiwemo wanandoa waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi gramu 66.70, baada ya kesi hiyo kuahirishwa kwa zaidi ya mara tano mfululizo bila kuendelea na usikilizwa wa upande wa...
  5. BARD AI

    Moshi: Padri amshinda DPP kesi ya kubaka mwanafunzi na kuachiwa huru

    Padri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi, Erasmus Swai amembwaga kortini Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) aliyekata rufaa dhidi yake kupinga uamuzi wa Mahakama ya Wilaya ya Hai kumwachia huru padri hiyo katika kesi ya ubakaji. Januari 1, 2021 padri huyo alifikishwa mahakamani kwa mara ya...
  6. Lady Whistledown

    India: Taharuki baada ya wanaume 11 waliombaka mjamzito kuachiwa huru

    Kuachiliwa kwa wafungwa 11 waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha maisha kwa ubakaji na mauaji nchini humo kumezusha maandamano, huku mwathiriwa wa ubakaji akitoa wito kwa Serikali kubatilisha uamuzi wake, akisema umetikisa imani yake katika haki Bilkis Bano alikuwa na ujauzito wa miezi mitano...
  7. B

    Wafungwa wa kisiasa kutoka jimbo la Ukerewe washinda rufaa yao na kuachiwa huru

    28 July 2022 Ukerewe, Mwanza MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA KTK KESI No. 171 OF 2021, YAWAACHIA HURU WANACHAMA WA CHADEMA Waliokuwa wagombea udiwani kupitia chama cha CHADEMA washinda rufaa yao na kuachiwa huru. Mzizi wa Hii kesi ilitokea wakati wa kurudisha fomu za udiwani, walipigwa risasi...
  8. Etwege

    Lengai Ole Sabaya kuwa huru?

    Mh rais Samia, sisi wana CCM tunakuomba kama ulivyoguswa na maombi ya watu mbalimbali ya kutaka umwachie mwenyekiti wa Chadema Mbowe anayetuhumiwa kwa tuhuma nzito za ugaidi na kupanga njama za kuuwa viongozi wa serikali basi tunakuomba pia uguswe na umwachie aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai...
  9. Lady Whistledown

    Ethiopia: Wadau wa Haki za binadamu watoa wito kwa wafungwa 9,000 kuachiwa huru Tigray

    Shirika la kutetea haki za binadamu nchini humo limetoa wito wa kuachiliwa mara moja kwa maelfu ya watu wa Tigray wanaozuiliwa katika kambi mbili katika eneo la kaskazini-mashariki la Afar tokea Desemba 2021 kinyume cha sheria. Inaelezwa kuwa ukosefu wa huduma za kimatibabu katika kambi hizo...
  10. M

    Baada ya Sabaya kuachiwa Huru nashauri 'mnaoshadadia' kutwa kuwa Makonda nae akamatwe achaneni nalo kwani 'System' bado inawahitaji na inawakubali

    Kikubwa tutafuteni tu Hela za Kutunza Familia zetu ila Kuwashadadia akina Sabaya na Makonda kuwa Wafungwe Maisha au ikiwezekana Wanyongwe ili mfurahi na mridhike ni Kupoteza muda Wenu kwani hawa Watu 'System' iliwatumia huko nyuma na huenda hata Kuachiwa kwa huyu Sabaya Kuna 'Operation'...
  11. kavulata

    Rais Samia ameupiga mwingi kuachiwa huru Mbowe

    Chuki huzaa chuki, heri huzaa heri na kicheko huzaa kicheko. Kwenye sakata hili la Mbowe kuachiwa huru wa kushukuriwa hapa ni Rais Samia full stop. Kama Rais JPM angekuwa bado Yuko kwenye kiti jambo hili la kuachiwa Mbowe kwa namna hii lisingewezekana. Ndugu zangu Tanzania imepata kiongozi...
  12. Kichwamoto

    Ni nini hasa tafsiri ya kuachiwa huru kwa Freeman Mbowe? Tuangazie mizania hizi

    Habarini wana JF, Naomba nichokoze maada, je nini kiwe tafsiri ya kuachiwa huru kwa F. Mbowe. Je ni 1. Win-win situation? 2. Win-loose situation? 3. Loose-win situation? 5. Loose-loose situation? Na je, ni tafsiri ipi ioanishishwe sambamba na mtazamo wa nyakati za sasa, za kati na za...
  13. The Palm Tree

    Kuachiwa huru kwa Freeman Mbowe na wenzake hakuna sababu nyingine isipokuwa ushahidi wa Jamhuri kutothibitisha mashitaka

    ASIKUDANGANYE MTU, kwa propaganda yoyote kuwa DPP kutangaza kutokuwa na nia ya kuendelea na mashitaka ya tuhuma za ugaidi na uhujumu uchumi dhidi ya M/Kiti wa CHADEMA - Taifa ndugu Freeman A. Mbowe na wenzake eti ni kwa sababu zingine zozote zile bali ilikuwa ni suala la muda tu siku hii ifike...
  14. OKW BOBAN SUNZU

    Zitto "anunua" kuachiwa huru kwa Mh.Mbowe,asema ni jitihada za uongozi wake

    Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Zitto Kabwe amesema kuachiwa huru kwa Mwenyekiti wa @ChademaTz Mhe. @freemanmbowetz ni miongoni mwa jitihada zilizokuwa zikifanywa na Taasisi hiyo ili kuimarisha Demokrasia kwa kuzungumza na mamlaka juu ya kushitakiwa kwa Mbowe. My Take...
  15. Nyendo

    Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

    Baada ya upande wa Mashtaka kufunga ushahidi wao na kuialika Mahakama kutoa hukumu ndogo na kisha mahakama kuwakuta watuhumiwa na kesi ya kujibu mnamo Februari 18 2022. Leo 04, Machi 2022 ni siku ya watuhumiwa kuanza kujitetea kutokana na tuhuma wanazotuhumiwa nazo. Awali Mahakama iliwakuta na...
  16. J

    Wakili Sungusia: Haki Jinai haina utaratibu wa mtu aliyewekwa muda mrefu Mahabusu kudai FIDIA pindi anapoachiwa huru au DPP kutoendelea na kesi

    Wakili msomi Halord Sungusia amesema sheria za Tanzania hazijaweka utaratibu wa mtu aliyewekwa mahabusu kwa muda mrefu kudai fidia pindi itakapobainika aliwekwa mahabusu kimakosa, akishinda kesi au DPP akiamua kutoendelea na kesi. Hii imeumiza watu wengi sana lakini ndivyo utaratibu wa sheria...
  17. Chachu Ombara

    Baadaya James Rugemalira kuachiwa huru, Mwanasheria wa IPTL kuendelea kusota rumande mpaka Desemba 23

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo Septemba 16, 2021 imemwachia huru Mkurugenzi wa VIP na mmiliki mwenza wa zamani wa IPTL, James Rugemarila baada ya Mwendesha Mashitaka wa Serikali kufuta mashitaka 6 ya uhujumu uchumi yaliyokuwa yanamkabili tangu mwaka 2017. Mbali na...
  18. Leak

    Rais na DPP ni matarajio ya wengi kuwa Mbowe atafikishwa Mahakamani au kuachiwa huru

    Mh Rais mashitaka dhidi ya Mbowe na wenzake yanashitusha sana watu wengi na hata wale ambao kwa vyovyote si mashabiki wa Mbowe au CHADEMA na ni mashitaka ya juu sana mtu kutuhumiwa nayo hasa mtu wa karba ya Mbowe kwa hiyo matarajio yetu ni kuwa serikali na DPP walishajipanga kumpeleka Mh Mbowe...
  19. M

    Nasubiria Ole Sabaya aende Kuachiwa Huru, ili niwalaumu Watanzania wa Mitandaoni kwa kuwa Wanafiki na Waongo

    Nianze Kwanza kwa Kuwapongeza baadhi ya JF Members ambao nakumbuka walisema tena hapa hapa JF kuwa aliyekuwa DC wa Hai Ole Sabaya atakutwa hana Hatia na kuwa Huru. Binafsi kiumakini kabisa nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa hii Kesi na kwa yanayoendelea huko Mahakamani nami naungana na wale JF...
Back
Top Bottom