Watuhumiwa wengine 16 katika kesi iliyokuwa inawakabili Masheikh wa Uamsho wameachiwa

Sep 19, 2019
43
383
Bismillahir Rahmaanir Rahiim

SHURA YA MAIMAMU TANZANIA

MASHEIKH WENGINE WAACHIWA HURU

Watuhumiwa wengine 16 katika kesi iliyokuwa inawakabili Masheikh wa Uamsho wameachiwa leo.

Shura ya Maimamu Tz itaendelea kuwapa taarifa kadiri itakavyo kuwa na baada ya kujiridhisha

Ibrahimu Zuberi Mkondo
Msemaji wa Shura ya Maimamu Tz
0713118812

PIA, SOMA:
- News Alert: - Masheikh wa Uamsho wafutiwa kesi, wawili waachiwa huru huku wengine wakisubiri taratibu za magereza

- Watuhumiwa wengine 16 katika kesi iliyokuwa inawakabili Masheikh wa Uamsho wameachiwa
 
Hivi walishutumiwa kwa kosa gani ?

Na hizo shutuma wanazikataa (kwamba hawakufanya) au wanakubali shutuma ila tafsiri ya hizo shutuma ndio tatizo (yaani wengine wanaona ugaidi wenyewe wanaona ni kupigania haki)..., Anyway nadhani kwenye jamii ya watu wenye itikadi na imani tofauti itikadi zote ziwepo so long as hazimuumizi mwingine no matter hata kama ni minority...

Sababu kama shida ni kwenye tafsiri ya wanachokifanya huenda miaka mitatu baadae tukawa tena hapa tunazungumza haya haya....
 
Alhamdullillah...

Ila wakulungwa wamejipanga kweli..sharti moja kuvunja..nadhani ndio..safari..!
 
Wakaanze tena mahubiri yao ya imani kalikali za kijinga
Mkuu hawa hawakuhubiri imani kali, isipokuwa walikuwa wanahubiri uwepo wa Zanzibar huru (jambo ambalo hata maoni ya baadhi ya wananchi kupitia mchakato wa katiba mpya walitaka hivyo).Kwa maana Zanzibar+Tanganyika=Tanzania na siyo Zanzibar+x=Tanzania.

Ikumbukwe haikuwa dhambi kutoa maoni yao kama wananchi kwa kuzingatia kuwa katiba inawaruhusu kufanya hivyo tafadhali rejea:-

18. Uhuru wa Maoni Sheria Na. 15 ya 1984 ib. 6">

(1) Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa kutoingiliwa kati mawasiliano yake.

Na hili siyo kwamba wao ni wa mwanzo kuhoji muuungano hata viongozi wa kisiasa walishahoji hilo mara kadhaa (Rejea akina Mtikiila,Maalim Seif Sharifu Hamad na wengineo)

Cha kushukuru awamu hii wameona hakuna haja ya kuwaweka watu hawa ndani na ndo maana kesi yao imefutwa.
 
haki ikitawala huinua taifa...lkn dhuluma na uonevu vikitawala hulididimiza na kiliangamiza taifa.
binafsi napenda nikiona watendaji wetu wakitenda haki kuliko kuonea watu.
vyombo vyetu vyote;
Mahakama, Polisi na DPP wajitahidi kuondoa uonevu na dhuluma, wasimamie na watende haki bila kigugumizi.
 
Bismillahir Rahmaanir Rahiim

SHURA YA MAIMAMU TANZANIA

MASHEIKH WENGINE WAACHIWA HURU

Watuhumiwa wengine 16 katika kesi iliyokuwa inawakabili Masheikh wa Uamsho wameachiwa leo.

Shura ya Maimamu Tz itaendelea kuwapa taarifa kadiri itakavyo kuwa na baada ya kujiridhisha

Ibrahimu Zuberi Mkondo
Msemaji wa Shura ya Maimamu Tz
0713118812

PIA, SOMA:
- News Alert: - Masheikh wa Uamsho wafutiwa kesi, wawili waachiwa huru huku wengine wakisubiri taratibu za magereza

Haki huinua taifa. Mdogo mdogo tutafika kwa kila roho.

Viva mama Samia Suluhu.
 
Bismillahir Rahmaanir Rahiim

SHURA YA MAIMAMU TANZANIA

MASHEIKH WENGINE WAACHIWA HURU

Watuhumiwa wengine 16 katika kesi iliyokuwa inawakabili Masheikh wa Uamsho wameachiwa leo.

Shura ya Maimamu Tz itaendelea kuwapa taarifa kadiri itakavyo kuwa na baada ya kujiridhisha

Ibrahimu Zuberi Mkondo
Msemaji wa Shura ya Maimamu Tz
0713118812

PIA, SOMA:
- News Alert: - Masheikh wa Uamsho wafutiwa kesi, wawili waachiwa huru huku wengine wakisubiri taratibu za magereza
Wamekoma hawatarudia tena....
 
Alhamdulilah. Nimefurai sana sana sana. Kuna watu wenye chuki na roho mbaya waliongea sana na kusema na hawatatolewa hawa masheikh. Haya sasa, wametolewa.. Aibu yao. Nyambafu kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom