Awamu ya mwisho ya Masheikh 11 wa “Uamsho”wametoka gerezani leo

Sep 19, 2019
43
383
Bismillahir Rahmaanir Rahiim

SHURA YA MAIMAMU TANZANIA

MASHEIKH WENGINE 11, WAMETOKA ADHUHURI YA LEO 17.06.2021

Awamu ya mwisho ya Masheikh wa “Uamsho”wametoka gerezani leo.

Masheikh 6, kati ya waliobaki wamewasili Bandarini Unguja saa 12:30, jioni ya leo.

Aidha waliobaki wawili watasafirishwa kwa usafiri maalum kutokana na hali zao za kiafya kutokua nzuri na waliosalia tayari wamo ndani ya boti wakielekea Unguja.

Kwakuwa Shura ndio wasimamizi wakuu na wenye habari za kina za mashauri haya ni vema kwa anayetaka kujishughulisha nayo akauliza ili apate kujua.

Ibrahimu Zuberi Mkondo
Msemaji wa Shura ya Maimamu Tz
0713118812

Zaidi, soma: Masheikh wa Uamsho wafutiwa kesi, wawili waachiwa huru huku wengine wakisubiri taratibu za magereza
 
Hatutaki kusikia tena fujo

Hii nchi ni yetu wote tuishi kwa Aman na kuvumiliana mambo ya Iman za wengine

Wakirudia tenaa waambieni kabsaaa hawatarudi tena kuona familiar zao

Hii nchi ina misingi yake haiwez kutikiswa kizembe tuu halafu tunyamaze

Kama hupendi watu au kitu fulani achana nacho
Usijiingize kwenye matatizo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Bismillahir Rahmaanir Rahiim

SHURA YA MAIMAMU TANZANIA

MASHEIKH WENGINE 11, WAMETOKA ADHUHURI YA LEO 17.06.2021

Awamu ya mwisho ya Masheikh wa “Uamsho”wametoka gerezani leo.

Masheikh 6, kati ya waliobaki wamewasili Bandarini Unguja saa 12:30, jioni ya leo.

Aidha waliobaki wawili watasafirishwa kwa usafiri maalum kutokana na hali zao za kiafya kutokua nzuri na waliosalia tayari wamo ndani ya boti wakielekea Unguja.

Kwakuwa Shura ndio wasimamizi wakuu na wenye habari za kina za mashauri haya ni vema kwa anayetaka kujishughulisha nayo akauliza ili apate kujua.

Ibrahimu Zuberi Mkondo
Msemaji wa Shura ya Maimamu Tz
0713118812

Watulize wenge sasa ,mambo ya kuhamasisha watu wachinjane waache! Amani kwanza Tanzania Kwanza!!
 
Back
Top Bottom