Ziara ya Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania gereza la Arusha

Sep 19, 2019
43
383
Shura ya Maimamu Tanzania

TAARIFA YA MASHEIKH WA GEREZA LA ARUSHA LEO 11.10.2021.

Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda amefanya ziara leo kuwajua hali Masheikh waliopo katika Gereza Kuu la Arusha Kisongo.

Masheikh hao na waumini wao wapatao 61, walikamatwa mwaka 2014, na kupewa kesi za Ugaidi.

Kati yao watatu (3), tayari wamefariki dunia wakiwa gerezani na kubaki 58.

Waliofariki wameacha mayatima 18, na wajane 5.

Wanashikiliwa kwa zaidi ya miaka minane huku Serikali ikidai bado inatafuta ushahidi.

Miezi kadhaa iliyopita Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ambae pia ni Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hasaan aliagiza kesi zilizokosa ushahidi kama hizo zifutwe ili watu wapate haki yao ya huru.

Hata hivyo agizo hilo limekuwa kama halikubaliki kwa watendaji wake.

Miongoni mwa mahabusu wanaogusa hisia za watu ni Yasini Mohammed aliyekamatwa (2014), akiwa mtoto mwenye umri wa miaka 15, na kupewa Ugaidi. Yasini anakulia gerezani na kukosa haki ya Elimu na malezi ya Baba na Mama.

Mwingine ni muadhini wa Msikiti aliyekamatwa mwaka huo akiwa na umri wa miaka 62, ambaye sasa yuko taabani kwa afya na uzee gerezani.

Katika ziara hiyo Sheikh Ponda amewafikishia Mahabusu hao salamu za Mawakili kuwa kesi zao zatakapoanza kusikikizwa watakwenda Arusha kuwatetea.

Mawakili hao ni wale waliowatetea Masheikh wa Uamsho na kushinda kesi 14, za Ugaidi kati ya 25, walizofunguliwa.

Sheikh Ponda pia amekutana na Familia za Mahabusu hao na kufanya nao mazungumzo.

Tayari amekwishafanya ziara katika Magereza ya Dar, es Salaam, Tanga na sasa Arusha. Ziara zinazofuata ni za Morogoro, Mwanza na Mtwara ambako pia mamia ya Waislamu baado wanashikiliwa.

Sheikh Ponda aliondoka Jijini Dar es Salaam jana 15.10.2021, saa 1:45 na kupokewa na viongozi wa Arusha katika uwanja wa Kilimanjaro International Air Port, saa 03:05, asubuhi.

Ibrahim Z. Mkondo
Msemaji Shura ya Maimamu
0713118812.
 
Huyu mrundi anatembelea magereza kama nani? Si aende kwao aunde chama badala ya kujificha kwenye udini uchwara
 
Hawana lao tena
Utawala huu hautaki wanafiki na watu wa ndio bwana
Kina hadi mpaka kanzu zitapauka
😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍 njaa na ujinga vinawasumbua. Hawa hawana tofauti na matapili kama Gwajima, Mazinge, Lusekelo, Mwakasenge na wezi wengine wanaotumia dini kuishi kutokana na kutokuwa na sifa elimu wala utundu wa kuishi kihalali.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom