Search results

  1. S

    Juma Raibu: Sijaondoa msaada wowote niliotoa Moshi, gazeti limetumika kunichafua

    Puuzeni. Mhe. Juma Raibu Bado anaendelea kuwasaidia Wananchi wake na habari za upotoshaji zinazosambaa kwamba ameondoa miundombinu aliyotoa kwa Wananchi NI uongo na uzushi wa watu wanaomchafua. ---- Kesho kutwa nitachangia vifaa vya ujenzi kwa Kata za Mjini Manispaa ya Moshi ili waweze kujenga...
  2. S

    Meya Raibu atembelea soko leo Moshi, afanya makubwa, awanunulia wafanyabiashara vifaa vya biashara

    WAFANYANYABIASHA WA SAMAKI MOSHI WALAUMU KUCHANGISHWA FEDHA ZISIZO NA MAANA NA WAHUNI WA SOKO JIPYA LA MAILISITA, PAMOJA KUIBIWA IKIWEMO UMBALI WA ENEO HILO, WAAHIDI KURUDI SOKO LA PASUA MEYA RAIBU AWANUNULIA MAJOKOFU YA KUHIFADHIA SAMAKI Na Mwandishi Wetu Katika hali ya kustaajabu kundi la...
  3. S

    Msemaji mkuu wa Serikali kuzungumza na Wanahabari

    Leo Jumamosi Septemba 04, 2021 Msemaji Mkuu wa Serikali Mhe Gerson Msigwa atazungumza na Wanahabari na kutoa taarifa ya wiki kwa Watanzania kupitia vyombo vya habari kuanzia saa 5 asubuhi. Wananchi watapata fursa pia ya kuuliza maswali kwa kupiga simu kupitia Simu no: 0733111111 Usikose...
  4. S

    Kwanini Tanzania iendelee kununua ndege?

    Leo Jumatano Septemba 01, 2021 Gazeti la HABARI LEO limeachia Makala yangu kwenye ukurasa wake wa 12 mpaka 13 yenye kichwa cha habari "KWANINI NI MUHIMU TANZANIA IENDELEE KUNUNUA NDEGE?. Mjadala mzuri na mkubwa sana. Ni hivi, katika juhudi za kufufua Shirika la ndege na kuimarisha sekta ya anga...
  5. S

    Uchaguzi 2020 CCM watangazwe washindi kwani CHADEMA wameshindwa kabla ya kuanza

    Kwa kilichotokea leo ni wazi kuwa CHADEMA hawajajiandaa, hawakujipanga, hawakufanya maandalizi na wala hawana matarajio na matumaini ya ushindi, wameanza wakiwa wamekata tamaa na wametangaza kushindwa kabla ya kuanza kushindana. Ukiwapima na ukipima mkutano wao katika maeneo yafuatayo...
  6. S

    Tanzania eyes Hong Kong money men as it touts itself as place Chinese businesses can use to dodge trade war tariffs.

    - Ambassador Mbelwa Kairuki highlights strong relationship with China based on Belt and Road Initiative - Hong Kong has been ‘overlooked’ in the past, but that could change as African nation looks to raise funds for capital projects Tanzania’s ambassador to China has touted the African nation...
  7. S

    Bomba la Gesi fursa kwa wanawake, UWT yapongeza Makonda kupatanishwa

    Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania {UWT} inapongeza kwa dhati mafanikio ya shughuli ya uwekaji wa jiwe la msingi na hatimae kuanza kwa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki kutoka Hoima nchini Uganda mpaka bandari ya Tanga nchini Tanzania lenye urefu wa kilometa 1,445 ambalo...
  8. S

    UWT yaitaka Serikali kuwachukulia adhabu kali Lowassa na Lissu

    TAMKO LA KAMATI YA UTEKELEZAJI YA BARAZA KUU LA UWT KILICHOFANYIKA TAREHE 18/07/2017 Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la UWT imefanya kikao chake cha Kikatiba tarehe 18/07/2017, ambapo pamoja na mambo mengine ilijadili agenda mbalimbali za msingi kuhusu uchaguzi ndani ya Jumuiya. Pia...
  9. S

    Arusha Mjini: Diwani wa Kata ya Muriet, Credo Kifukwe ajiuzulu

    Diwani wa Kata ya Muriet Wilaya ya Arusha Mjini Mheshimiwa Credo Kifukwe amejiuzulu nafasi yake ya udiwani kupitia Chama hicho asubuhi ya leo tarehe 29 June 2017 mjini Arusha. Mheshimiwa Credo amenukuliwa akisema wakati wa kutoa tamko la kujiuzulu kwake kuwa "Ninajiuzulu nafasi yangu ili niweze...
  10. S

    Polepole: CCM tunaendelea kuwa chama bora kwa kuwa tunajitahidi kusahihisha makosa yetu

    Katibu wa Halmashauri Kuu itikadi na Uenezi Ndugu Humphrey Polepole atafanya mkutano na waandishi wa habari saa sita 6:00 mchana wa leo katika ofisi ndogo ya Makao Makuu iliyopo mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam. Mwenezi huyo wa Chama Cha Mapinduzi ameahidi kuzungumzia mambo makuu mawili...
  11. S

    Lema angetueleza alipo Mashinji kabla ya kutaka kujua alipo Kinana

    Mbunge wa Jimbo la Arusha mjini na mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe Lema amesikika jana akizungumza bungeni kuwa anaitaka Serikali ieleze alipo Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdulrahaman Kinana. Jambo hili lina sura mbili kimtazamo; 1 - CCM ni chama pekee...
  12. S

    Polepole afanya ziara Arusha, aielekeza Serikali kupeleka Chakula Longido, Monduli na Ngorongoro

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Ndg Humphrey Polepole aliyepo Mkoani Arusha katika ziara ya kukiimarisha Chama, amekutana na Viongozi wa Kata na Wanachama wa CCM Wilaya za Arusha na Longido. Katika mazungumzo, wanaCCM wilayani Longido walimuomba Mwenezi huyo wa CCM...
  13. S

    CCM yatuma salamu za pole na rambirambi kufuatia kifo cha makada wake

    SALAMU ZA POLE NA RAMBIRAMBI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa majonzi na masikitiko makubwa taarifa za vifo vya watu saba wakiwemo viongozi na wanachama wanne wa CCM ambao ni Ndg Ally Mmbaga, mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa na mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa, Ndg Arnold Swai...
  14. S

    Sakata la Lema na USHAHIDI wa Vodacom (kamaa tadinu tudana)

    SAKATA LA LEMA NA USHAHIDI WA VODACOM -----------------------USILOPENDA KUFANYIWA KAMWE USIMFANYIE MWENZIO. Nimeona mitandaoni kampeni inaendelea kutuhamasisha watu tusitumie mtandao wa Vodacom. Kampeni inasimamiwa na kusambazwa na viongozi na wananchama wa Chama kimoja cha siasa. Wengine ni...
  15. S

    Polepole: Wapinzani wamekuwa na juhudi kubwa ya kuchonganisha na kuifitinisha serikali na wananchi

    Katibu wa Halmashauri kuu, itikadi na uenezi Ndg Humphrey Polepole anakutana na kuzungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es salaam. NB; Waandishi wameshaingia ukumbini na Mkutano unategemea kuanza muda si mrefu...
  16. S

    Anguko jingine la Ben Saanane, Yeriko Nyerere na Nusrat Hanje. BAVICHA wana wakati mgumu sasa

    Labda kilichomponza Yeriko Yohanesy Nyerere ni maneno yake ya tarehe 20 mwezi wa 8 mwaka 2013, pale alipoandika kwenye ukurasa wake wa twitter kuwa LOWASSA NI PAKA SHUME. Ijumaa ya tarehe 12/4/2013 aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Mhe Juliana Shonza akiwa Dodoma alimtaja BEN...
  17. S

    Wananchi watishia kuwaua madiwani Rombo kwa tuhuma za kuwapora mashamba

    Watu wanakatana mapanga huku Rombo Leo kwakuwa MADIWANI wa chadema wamejigawia mashamba ya WANANCHI kama orodha inavyojionyesha Ikumbukwe kuwa Wilaya ya Rombo ina Kata 28 na MADIWANI 27 ni wa chadema na 1 tu wa CCM Hapa kuna uhaba mkubwa sana wa Ardhi na wananchi ukodishiwa Ardhi ya msitu wa...
  18. S

    Tetesi: Mbowe kujiuzulu mwezi Novemba

    Taarifa za kuaminika kutoka katika vyanzo nyeti katika chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Mhe Freeman Aikael Mbowe yuko mbioni kujiuzulu nafasi yake ya uenyekiti wa chama hicho kutokana na kile kinachodaiwa kuchoshwa kunyooshewa vidole na...
  19. S

    Ole Sendeka aiwakilisha CCM ktk mazishi ya NTIMAMA, Kenya.

    Msemaji wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Christopher Ole Sendeka ameshiriki mazishi ya mwanasiasa mkongwe nchini Kenya marehemu William Ronkurua Ole Ntimama yaliyofanyika jana nchini Kenya. Marehemu Ole Ntimama ni mwanasiasa aliyetumikia kwa muda mrefu ambaye ametumikia Kenya akiwa kama Mbunge...
  20. S

    Serikali kupeleka Madaktari Bingwa zaidi ya 15, Kagera.

    Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa - TAMISEMI, Mhe GEORGE SIMBACHAWENE amesema madaktari bingwa zaidi ya 15 wamepelekwa mkoani Kagera kusaidia utoaji huduma kufuatia janga la tetemeko la ardhi lililotokea tarehe 10/9/2016 na kusababisha zaidi ya vifo vya watu 16 na...
Back
Top Bottom