security guard
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 799
- 603
Mbunge wa Jimbo la Arusha mjini na mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe Lema amesikika jana akizungumza bungeni kuwa anaitaka Serikali ieleze alipo Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdulrahaman Kinana.
Jambo hili lina sura mbili kimtazamo;
1 - CCM ni chama pekee TANZANIA ambacho kinajumuisha maslahi ya kila Mtanzania, kiasi kwamba hata mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA anatamani kujua alipo na anachokifanya Katibu Mkuu wake. Ni dhahiri kuwa sio tu CHADEMA na Viongozi wao bali kila Mtanzania anayo hamu kama ya Lema...hii inathibitisha kuwa CCM ni muhimili muhimu kwa Taifa hili.
2 - Huu ni UTHIBITISHO mwingine kuwa CHADEMA inapoteza relevance kwa watanzania, no body cares nini kinaendelea kwenye chama hiko, kwani ni muda mrefu sasa Katibu Mkuu wake Ndg Mashinji hajaonekana wala kusikika lakini sio tu Watanzania hawana interest bali hata wanachadema wenyewe hawana muda wa kutaka kujua yuko wapi wala anafanya nini.
Watanzania wameendelea kuthibitisha kuwa CCM ni zaidi ya Chama cha siasa bali ni chombo muhimu na cha kipekee kinachodetermine maisha yao kama wananchi na kama Taifa.