Polepole: CCM tunaendelea kuwa chama bora kwa kuwa tunajitahidi kusahihisha makosa yetu

security guard

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
799
603
Katibu wa Halmashauri Kuu itikadi na Uenezi Ndugu Humphrey Polepole atafanya mkutano na waandishi wa habari saa sita 6:00 mchana wa leo katika ofisi ndogo ya Makao Makuu iliyopo mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam.

Mwenezi huyo wa Chama Cha Mapinduzi ameahidi kuzungumzia mambo makuu mawili ambayo yanaendelea hivi sasa hapa nchini.

Press Conference hiyo itarushwa mubashara kupitia kurasa za mitandao ya kijamii za CCM na tutafanya live updates kupitia thread hii.

DAp6IBTXgAE4Nvx.jpg

Sifa ya kwanza ya Kiongozi bora ni [HASHTAG]#UADILIFU[/HASHTAG].


==============================================
UPDATES

= "Leo tutazungumza mambo makubwa mawili yanayoendelea kwenye taifa letu".

= Jambo la kwanza linahusu hali ya Ulinzi na Usalama wa. kumekuwepo na mauaji ktk maeneo ya Mkuranga, Rufiji na Kibiti.

= "CCM imehuzunishwa na kusikitishwa sana na mauaji hayo, tunatambua kuwa Wananchi wa maeneo haya wanapitia wakati mgumu".

= Tunatoa pole kwa wote waliofikwa na misiba, tunawaombea majeruhi warejee ktk utimilifu wa Afya zao waendelee kulitumikia Taifa.

= Tunaitaka Serikali ifanye kitu kurejesha AMANI maeneo yale, kwani watu wanaishi kwa salama, utulivu na bila taharuki.

= Jambo la mauaji ya Kibiti linapaswa kupewa [HASHTAG]#Umaalumu[/HASHTAG] na tunayataka majeshi yote kushirikiana kurejesha amani

= Tunashindwa kufanya uchaguzi na shughuli zetu za kichama kwa sababu ya mauaji yanayoendelea kwenye maeneo haya.

= Tunasikitika kuwa katika hili tumeachwa wenyewe, vyama vya siasa tulipaswa kushikamana, ukimya wa wenzetu umetusikitisha.

= Sisi kama CCM tunasimama na Wananchi wa Rufiji, Mkuranga na Kibiti. Tunataka wenye dhamana kuchukua hatua.

= Jambo la pili ni lile alilolifanya Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt Magufuli baada ya kupokea ripoti kuhusu mchanga wa dhahabu.

= Wapo wapuuzi wanaosema Serikali zilizopita zilikuwa za Chama gani? tunasema Chama bora ni kile kinachosahihisha makosa yake

= Tunaendelea kuwa chama bora kwa kuwa tunajitahidi kusahihisha makosa yetu.

= CCM mpya ni chachu ya TANZANIA mpya tutahakikisha rasilimali za watanzania zinatumika kwa manufaa yao.

= Tuko katika vita ya kiuchumi, nayo ni vita kubwa na hatari zaidi duniani lakini nawahakikishia TUTASHINDA VITA HII.

= Chama kimenituma kuja kuwaeleza jambo la Kibiti kwa kuwa haliko sawa, tunaomba wananchi watoe ushirikiano na majeshi yaungane.

= CCM ni chama cha siasa chenye dhamana ya kuwasemea watu, ndio maana tunajitokeza hadharani na kuitaka Serikali kufanya jambo kuhusu mauaji.

More to follow
-----------------------
= CCM tunasema IMETOSHA, hatutaki ifike wakati Chama kiamue kuwa wenye dhamana ya kusimamia amani yetu wajitafakari.
 
Pole pole jitahidi uende pole pole maana pole pole ndio mwendo
Nakukumbusha pia kujitahidi kuwa na akiba ya maneno katika mkutano wako.
 
Nilishamwondoa kwenye watu Wa kufuatiliwa kwa ajili ya taifa letu
 
Mada kuu itakuwa kumwimbia mwnykt "nyimbo za sifa"; nothing else.
 
Miaka miwili tuliambiwa tusubiri uhakiki uishe, miaka miwili tutaambiwa tusubiri mchanga uchenjuliwe nchini. Tutafika 2020 hakuna kilichofanywa na ccm kuboresha maisha ya Mtanzania.
 
Katibu wa Halmashauri Kuu itikadi na Uenezi Ndugu Humphrey Polepole atafanya mkutano na waandishi wa habari saa sita 6:00 mchana wa leo katika ofisi ndogo ya Makao Makuu iliyopo mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam.

Mwenezi huyo wa Chama Cha Mapinduzi ameahidi kuzungumzia mambo makuu mawili ambayo yanaendelea hivi sasa hapa nchini.

Press Conference hiyo itarushwa mubashara kupitia kurasa za mitandao ya kijamii za CCM na tutafanya live updates kupitia thread hii.

DAp6IBTXgAE4Nvx.jpg

Sifa ya kwanza ya Kiongozi bora ni [HASHTAG]#UADILIFU[/HASHTAG].

Yupo mubashara sasa hivi, ameshaanza kuongea.
 
"Leo tutazungumza mambo makubwa mawili yanayoendelea kwenye taifa letu".

Jambo la kwanza linahusu hali ya Ulinzi na Usalama wa. kumekuwepo na mauaji ktk maeneo ya Mkuranga, Rufiji na Kibiti.

"CCM imehuzunishwa na kusikitishwa sana na mauaji hayo, tunatambua kuwa Wananchi wa maeneo haya wanapitia wakati mgumu".

Tunatoa pole kwa wote waliofikwa na misiba, tunawaombea majeruhi warejee ktk utimilifu wa Afya zao waendelee kulitumikia Taifa.

Tunaitaka Serikali ifanye kitu kurejesha AMANI maeneo yale, kwani watu wanaishi kwa salama, utulivu na bila taharuki.

Jambo la mauaji ya Kibiti linapaswa kupewa [HASHTAG]#Umaalumu[/HASHTAG] na tunayataka majeshi yote kushirikiana kurejesha amani

Tunashindwa kufanya uchaguzi na shughuli zetu za kichama kwa sababu ya mauaji yanayoendelea kwenye maeneo haya.

Tunasikitika kuwa katika hili tumeachwa wenyewe, vyama vya siasa tulipaswa kushikamana, ukimya wa wenzetu umetusikitisha.

Sisi kama CCM tunasimama na Wananchi wa Rufiji, Mkuranga na Kibiti. Tunataka wenye dhamana kuchukua hatua.

Jambo la pili ni lile alilolifanya Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt Magufuli baada ya kupokea ripoti kuhusu mchanga wa dhahabu.

Wapo wapuuzi wanaosema Serikali zilizopita zilikuwa za Chama gani? tunasema Chama bora ni kile kinachosahihisha makosa yake

Tunaendelea kuwa chama bora kwa kuwa tunajitahidi kusahihisha makosa yetu.

CCM mpya ni chachu ya TANZANIA mpya tutahakikisha rasilimali za watanzania zinatumika kwa manufaa yao.

Tuko katika vita ya kiuchumi, nayo ni vita kubwa na hatari zaidi duniani lakini nawahakikishia TUTASHINDA VITA HII.

Chama kimenituma kuja kuwaeleza jambo la Kibiti kwa kuwa haliko sawa, tunaomba wananchi watoe ushirikiano na majeshi yaungane.

CCM ni chama cha siasa chenye dhamana ya kuwasemea watu, ndio maana tunajitokeza hadharani na kuitaka Serikali kufanya jambo kuhusu mauaji.

More to follow
-----------------------
CCM tunasema IMETOSHA, hatutaki ifike wakati Chama kiamue kuwa wenye dhamana ya kusimamia amani yetu wajitafakari.
 
Back
Top Bottom