security guard
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 799
- 603
Leo Jumatano Septemba 01, 2021 Gazeti la HABARI LEO limeachia Makala yangu kwenye ukurasa wake wa 12 mpaka 13 yenye kichwa cha habari "KWANINI NI MUHIMU TANZANIA IENDELEE KUNUNUA NDEGE?. Mjadala mzuri na mkubwa sana.
Ni hivi, katika juhudi za kufufua Shirika la ndege na kuimarisha sekta ya anga nchini, Serikali imenunua ndege mpya 11 na 9 kati ya hizo zimeshawasili nchini huku 2 zikitarajia kuwasili muda wowote. Baada ya ndege hizo 11, Serikali sasa imenunua ndege zingine mpya 5 ambazo zitawasili mwaka 2023.
Mjadala ni mkubwa kuhusu ununuzi wa ndege hizi, Je kuna haja ya nchi yetu kuendelea kununua ndege na kuimarisha sekta nzima ya usafiri wa anga? Gazeti la HABARI LEO linapatikana nchi nzima popote panapouzwa Magazeti, fika upate nakala yako halafu ukafaidi huu mjadala wangu. Hutajuta.
Bwanku M Bwanku.