Juma Raibu: Sijaondoa msaada wowote niliotoa Moshi, gazeti limetumika kunichafua

security guard

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
799
603
Puuzeni. Mhe. Juma Raibu Bado anaendelea kuwasaidia Wananchi wake na habari za upotoshaji zinazosambaa kwamba ameondoa miundombinu aliyotoa kwa Wananchi NI uongo na uzushi wa watu wanaomchafua.

----
Kesho kutwa nitachangia vifaa vya ujenzi kwa Kata za Mjini Manispaa ya Moshi ili waweze kujenga shule za sekondari za Kata,siwezi ondoa misaada niliyotoa kwa wananchi ni dhambi kubwa na haina maana yoyote sasa hayo mapipa nitayapeleka wapi!"Juma Raibu Diwani Kata ya Bomambuzi

Bora nijiuzulu nafasi yangu ya udiwani na nyingine nilizo nazo ikiwa nitafanya kitendo cha kuondoa miundombinu ya maji na hata yale mapipa niliyotoa kujikinga na UVIKO-19,hilo gazeti linatumia jina langu ili liuze"Juma Raibu Diwani Kata ya Bomambuzi.

PIA SOMA:

Raibu.jpg
 
Sawa.Anaposema msaada manake katoa kwa pesa yake binafsi si kama mradi wa serikali tuelewe hivyo.Nilijuwa yataisha
 
Puuzeni. Mhe. Juma Raibu Bado anaendelea kuwasaidia Wananchi wake na habari za upotoshaji zinazosambaa kwamba ameondoa miundombinu aliyotoa kwa Wananchi NI uongo na uzushi wa watu wanaomchafua.

----
Kesho kutwa nitachangia vifaa vya ujenzi kwa Kata za Mjini Manispaa ya Moshi ili waweze kujenga shule za sekondari za Kata,siwezi ondoa misaada niliyotoa kwa wananchi ni dhambi kubwa na haina maana yoyote sasa hayo mapipa nitayapeleka wapi!"Juma Raibu Diwani Kata ya Bomambuzi

Bora nijiuzulu nafasi yangu ya udiwani na nyingine nilizo nazo ikiwa nitafanya kitendo cha kuondoa miundombinu ya maji na hata yale mapipa niliyotoa kujikinga na UVIKO-19,hilo gazeti linatumia jina langu ili liuze"Juma Raibu Diwani Kata ya Bomambuzi.

PIA SOMA:

Wamemsakama sana huyu jamaa nahisi kuna kitu aliwazibia na sio sababu ya kuhudhuria sherehe za mashoga.

CCM wameingiwa tamaa na Cahadema wanaenda kurejesha jimbo lao kirahisi tu
 
Huyu Mtu si alikataa hata watu kuvaa barakoa!! Sasa huo ujasiri WA kutoa mapipa ya uviko 19 aliutoa wapi!? Huyu bwana nimeamini Aishi maigizo, Takukuru wakachukue pesa alizopora za Kilimanjaro Commercial Bank
 
Wamemsakama sana huyu jamaa nahisi kuna kitu aliwazibia na sio sababu ya kuhudhuria sherehe za mashoga.

CCM wameingiwa tamaa na Cahadema wanaenda kurejesha jimbo lao kirahisi tu
Wewe ndiye huyu meya mfukuzwa mjinga. Katika watu wa hovyo kabisa ni hiki kijamaa. Sijui kwa nini utawala wa Magufuli ulikuwa na vijitu vya hovyo namna hii.
 
Back
Top Bottom