Search results

  1. thetallest

    Nani yuko nyuma ya 'personal attacks' dhidi ya Mwigulu na Makonda jana Star TV kipindi cha Ajenda?

    Jana siku ya Jumatatu tarehe 20/11/2023 kilikuwepo kipindi cha ajenda kuanzia around saa nne usiku, kikiongozwa na mwanahabari ALLOYS NYANDA. Mwalikwa katika kipindi hicho alikuwa kijana mmoja alitajwa kwa jina la AUS. Kipindi kilijadili ziara ya MAKONDA kanda ya ziwa kama katibu mwenezi...
  2. thetallest

    Kinana na Chongolo wamepongeza uteuzi wa Makonda mpaka sasa hadharani? Kama bado kwanini?

    Wataalamu wa masuala ya siasa na mahusiano karibuni tudadavue. Nimepitapita mitandaoni kwa maana ya social media, na kwenye magazeti sijakutana na pongezi toka kwa hawa watu wawili muhimu sana ndani ya CCM ambao vikao vyote watakaa na kijana huyu,mwenye lolote atujuze
  3. thetallest

    Mwenye tuhuma za kweli za jinai kuhusu Paul Makonda amfungulie kesi Mahakamani. Hizi porojo na kulishana upepo itoshe sasa

    Wote wanaoamini Paul Makonda ni muhalifu na ushahidi wanao ni muda sasa wa kumshughulikia, japo hakuwa na mamlaka yoyote ndani ya miaka mitatu walishindwa. Wasipoenda mahakamani ni kiashiria tosha cha chuki binafsi dhidi yake na wapuuzwe.
  4. thetallest

    Wizara ya Mambo ya Nje inakwenda kuvurundwa kama Wizara ya Nishati

    Kijana inaonekana kamshika bi mkubwa haswa, kila anachoambiwa na huyu kijana anakubaliana nacho, hana muda wa kutafakari. Katoka TANESCO kachemka akiacha safu isiyo na matumaini mpaka kupelekea Mkurugenzi Mkuu na Mwenyekiti wa Bodi kung'oka. Zengwe limehamishiwa Wizara ya Mambo Nje kwa sasa...
  5. thetallest

    Je, ni nyaraka zipi ambazo kitengo cha usalama wamezuia zisitoke kwenye tovuti ya kitabu cha maisha ya Dr. Salim Ahmed Salim?

    Ninachokijua ni kwamba kwenye historia ya maisha ya viongozi wanapotunga vitabu hawawezi kutoa siri za nchi. Hisia zangu ni kwamba Dr Salim Ahmed Salim kama mwanadamu kuna eneo alikwazwa sana, hasa kipindi anagombea urais 2005, kuna lugha za kijinga sana zilitumika na lile kundi kuhusu haiba...
  6. thetallest

    Wana Geita vijijini hivi kuna haja ya kumrudisha Mbunge Musukuma bungeni tena 2025?

    Huyu Mbunge alijichukulia umaarufu bungeni na mitandaoni kwa kubwabwaja hovyo bila facts akijifichia kichaka kwamba ni darasa la saba Lengo lake lilikuwa ni kujipenyeza kwenye ulaji ili wezi wa mali ya umma wamsogeze karibu kwa lengo la kumfunga mdomo. Ona alivyochemka suala la bandari...
  7. thetallest

    Imani yangu inaniambia mikataba aliyosaini Rais Samia alipokaa Marekani kwa wiki zaidi ya tatu tulipigwa vibaya sana

    Kama ada linapokuja suala la rasilimali za nchi kuliwa na wajanja wachache lazima tupaze sauti. Wazo linanituma kipindi cha Royal Tour ya Rais Samia huko Marekani Rais alisaini mikataba mingi sana mfano wa hii ya DPW. Watanzania tuishinikize serikali ilete mikataba yote aliyosaini Rais na...
  8. thetallest

    Kina nani wako nyuma ya hizi pingapinga kuhusu mikataba aliyosaini Rais Samia na (UAE)?

    Kuna upingaji mkubwa sana wa mikataba baina ya serikali ya Tanzania na United Arabs Emirates Mikataba hii ilisainiwa na serikali ya Tanzania kwa lengo la mashirikiano ya kuinuana pande mbili kiuchumi. Nchi hii imesaini mikataba mingi sana na nchi mbalimbali duniani hasa za ulaya magharibi...
  9. thetallest

    Maridhiano ya CHADEMA na CCM yaonesha tobo la kisheria, hayafai hata kidogo

    Katika mjadala wa leo kuhusiana na bandari baadhi ya wachangiaji wengi, kuanzia wa kwanza professor Kitila Mkumbo walionyesha kutoridhishwa na kauli ya muheshimiwa Mbowe ,mwenyekiti wa Chadema taifa,japo hakumtaja jina. Hali Iliendelea kwa wachangiaji mpaka ikafikia kutajwa hadharani kwamba...
  10. thetallest

    Tanzania yangu ina huruma sana, ripoti ya CAG ndio kwaheri. Bandari tena itakuwa kama Zimamoto

    Nakumbuka hapa jukwaani issue ya ripoti ya CAG ilikuwa moto sana, kila thread ilioanzishwa ni moto kwelikwel majizi yawawajibike,lakini kimyaa! Hiyo ndio imetoka, majizi kwa sasa yanapumua yakichekelea na kugonga glass cheers, yalijua watanzania huwa hawamalizi jambo lolote mpaka mwisho na...
  11. thetallest

    Mzee Kikwete, dunia ni ya utandawazi kila jambo litajieleza. Legacy yako ipo tu

    Nilikuwa nafuatilia sherehe au hafla ya kuzinduliwa Ikulu, chamwino Dodoma. Kwa jinsi ratiba ilivyopangwa Mzee Jakaya haukuwemo kwenye list ya wazungumzaji kabisa, nafsi yangu inaniambia hivyo. Alianza Hussein Mwinyi, akafuata Dr Mpango, kisha rais Samia. Cha kushangaza katikati rais Samia...
  12. thetallest

    Ni tukio muhimu sana la kitaifa, wako wapi Comred Kinana na Mzee Makamba sir?

    Hii ni mara ya pili hawaonekani hadharani kulikoni? Mara ya kwanza ni kuagwa kwa mwili wa kachero mmbobezi Bearnad Kamilius Membe,huyo alikuwa ni swahiba wao mkubwa sana wa wazuri hawafi,nilijua kukosekana kwao kulinishitua. Sasa tukio hili muhimu namuona Komred Chongolo tu anatambulishwa,wapi...
  13. thetallest

    Rais Samia nakuomba ufanye kama ulivyofanya kwa Mbowe kuhusu msanii "DAWA" wa Chato

    Rais wewe ndio mfariji wetu,kama taifa,lazima uwe na roho ngumu sana,hasa uvumilivu wa kusikia yale usio yapenda ,unayoyapenda na kusamehe pia, Kijana wa chato kwa jina la usanii "DAWA," mahakama ilimtia hatiani kwa nyimbo yake ambayo alikushutumu kuhusiana na ughali wa maisha,akilalamikia...
  14. thetallest

    Ni wazee gani hao waliolitumikia taifa kwa uaminifu mkubwa ,ikiwa waliingia madarakani maskini na sasa ni mabilionea?,:Membe alidaganya

    Baada ya kifo cha hayati Magufuli hayati Membe mara kwa mara aliibuka na kauli kali sana za kumsimanga hayati Magufuli, Na kwa kufanya hivyo alipigiwa simu za pongezi sana na wapambe wake kupongezwa,na ifahamike kwa umri wake na maadili ya dini yoyote ile yanakataza tabia hiyo. Swali langu ni...
  15. thetallest

    Serikali ya CCM ,tambueni wanaitwa "tegesha" mkoa wa Mara wilaya ya Tarime vijijini ni watanzania wenzetu wana malengo

    Hili suala kuhusu fidia ya hao wananchi wa eneo husika ukilitazama kwa haraka haraka kupitia majibu ya serikali ni kama jepesi sana, lakini kiukweli si jepesi kihivyo, huko mbeleni lita backfire na serikali kujikuta inatumia nguvu nyingi kulitatua. Kwa maoni yangu,hili si tatizo la mwekezaji...
  16. thetallest

    Spika Tulia Ackson, ruhusu bunge liwe huru kuchakata taarifa ya CAG, kisha lichukue hatua. Itakujengea heshima kubwa sana nchini

    Ndugu Dr Tulia Ackson Mwansasu,spika wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania na uongozi mzima wa bunge letu,kichwa cha habari kimejieleza vyema. Ripoti ya CAG imejaa madudu mengi sana kuhusiana na ubadhirifu wa fedha za umma ndani ya serikali, hii haikubaliki hata kidogo, kwasababu...
  17. thetallest

    Watanzania tuache uvivu hakuna kitakachobadilika kwa misaada

    Naona nchi imetupiwa fupa tena,kinyang'anyiro kwa watumishi wasio waaminifu ndani ya serikali, Bila nidhamu ya kazi na matumizi sahihi ya mapato ya ndani, tutasaidwa daima na hakutakuwa na mabadiliko ya kiuchumi,sana ni kunufaisha makundi machache ndani ya serikali.
  18. thetallest

    ITV niwapongeze kwa ile story fupi mliorusha kuhusu Sudan revolution

    Ni kipande kifupi cha maaan chenye mafundisho chenye kuwapa moyo na ujasiri vijana dhidi ya dhulma zilizokithiri katika jamii husika. Inawezeka kuondokana na dhulma ikiwa vijana wataweka woga pembeni na kusema hapana imetosha. Ni vijana Pekee watakao ondoa dhulma ndani ya hii nchi,wakilala...
  19. thetallest

    Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

    Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu? Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE, hawakuwa na habari na mradi huo, waliupa kisogo. Hayati Magufuli kwa...
  20. thetallest

    Rais Samia chunga kauli zako, unamtetea Mzee Makamba kwa kuteleza kauli nawe unarudia yaleyale

    Ndugu mwenyekiti, kipi kinawavuruga hapo meza kuu? Ni kura zilizopigwa jana? Kama ni hizo mbona wewe na wajumbe mmepata kura za kishindo? Naomba nikueleze ulipoteleza leo kwenye hotuba yako ya kufunga mkutano mkuu wa CCM taifa Kuna eneo kauli yako umesema waliokulia CCM ndio bora zaidi na...
Back
Top Bottom