Wizara ya Mambo ya Nje inakwenda kuvurundwa kama Wizara ya Nishati

thetallest

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
8,256
9,085
Kijana inaonekana kamshika bi mkubwa haswa, kila anachoambiwa na huyu kijana anakubaliana nacho, hana muda wa kutafakari.

Katoka TANESCO kachemka akiacha safu isiyo na matumaini mpaka kupelekea Mkurugenzi Mkuu na Mwenyekiti wa Bodi kung'oka.

Zengwe limehamishiwa Wizara ya Mambo Nje kwa sasa, anakwenda kupanga safu ya jamaa zake , mlioko huko Wizarani , kama kuna uwezekano wa kufix mapema, msilembe.

Bila Katiba Mpya nchi hii itaongozwa na waliotakiwa kuongozwa.
 
Mambo ya nje anakwenda kutoboa vizuri sana.

Kijana yuko bright sana halafu smart sana kwenye masuala hasa yanayoendana na taaluma yake kwa kiasi fulani.

Kwenye wizara hii anakwenda kurekebisha na kufuta madhaifu yake yote yaliyonekana alipokua kwenye wizara nyingine huko nyuma.

wizara hii inakwenda kutia fora this time katika utendaji...
 
mambo ya nje anakwenda kutoboa vizuri sana,

Kijana yuko bright sana halafu smart sana kwenye masuala hasa yanayoendana na taaluma yake kwa kiasi fulani,

Kwenye wizara hii anakwenda kurekebisha na kufuta madhaifu yake yote yaliyonekana alipokua kwenye wizara nyingine huko nyuma,

wizara hii inakwenda kutia fora this time katika utendaji...
Kalaghabhaho
 
Mambo ya nje anakwenda kutoboa vizuri sana.

Kijana yuko bright sana halafu smart sana kwenye masuala hasa yanayoendana na taaluma yake kwa kiasi fulani.

Kwenye wizara hii anakwenda kurekebisha na kufuta madhaifu yake yote yaliyonekana alipokua kwenye wizara nyingine huko nyuma.

wizara hii inakwenda kutia fora this time katika utendaji...
Hakuna kijana hapo, Kijana hawezi kumiliki uwalaza kama ule, huyo ni dingi kama madingi wengine!
 
Kijana inaonekana kamshika bi mkubwa haswa,kila anachoambiwa na huyu kijana anakubaliana nacho,hana muda wa kutafakari.

Sasa katoka Tanesco kachemka akiacha safu isio na matumaini mpaka kupelekea mkurugenzi mkuu na mwenyekiti wa bodi kung'oka.

Zengwe limehamishiwa Wizara ya Mambo Nje kwa sasa, anakwenda kupanga safu ya jamaa zake huko mambo ya nje, mlioko huko wizarani mambo nje ,kama kuna uwezekano wa kufix msilembe.

Bila katiba mpya nchi hii itaongozwa na waliotakiwa kuongozwa.
Bibi yenu ni anguko la ufalme wa falme ya Tanzania
 
Kijana inaonekana kamshika bi mkubwa haswa,kila anachoambiwa na huyu kijana anakubaliana nacho,hana muda wa kutafakari.

Sasa katoka Tanesco kachemka akiacha safu isio na matumaini mpaka kupelekea mkurugenzi mkuu na mwenyekiti wa bodi kung'oka.

Zengwe limehamishiwa Wizara ya Mambo Nje kwa sasa, anakwenda kupanga safu ya jamaa zake huko mambo ya nje, mlioko huko wizarani mambo nje ,kama kuna uwezekano wa kufix msilembe.

Bila katiba mpya nchi hii itaongozwa na waliotakiwa kuongozwa.
Mbona watu mna wivu usio na ticha? Kabla yake ni nani alikuepo na akafanya nini? Haya kashatolewa nishati, je mmepata umeme? Tuepuke personality unapokua na matatizo yako usihamishie chuki zako kwa mtu. Serikali ni mifumo na si mtu mmoja. Sina interest na huyu mtu ila nimekua nikiona mara nyingi watu wakimshambulia yeye kama yeye. Kwani huyu kijana ana nguvu gani za kuyumbisha serikali? Basi kama serikali hii inaweza kuyumbishwa na mtu kuna mahali kuna tatizo kubwa na halimuhusu yeye kabisa.
 
Uharibifu mkubwa alioufanya Tanesco sio wa kitoto,sio suala la kulala na kuamka zinduka wewe kapuku
 
Kijana inaonekana kamshika bi mkubwa haswa, kila anachoambiwa na huyu kijana anakubaliana nacho, hana muda wa kutafakari.

Sasa katoka TANESCO kachemka akiacha safu isiyo na matumaini mpaka kupelekea Mkurugenzi Mkuu na Mwenyekiti wa Bodi kung'oka.

Zengwe limehamishiwa Wizara ya Mambo Nje kwa sasa, anakwenda kupanga safu ya jamaa zake huko Mambo ya Nje, mlioko huko Wizarani Mambo Nje, kama kuna uwezekano wa kufix msilembe.

Bila Katiba Mpya nchi hii itaongozwa na waliotakiwa kuongozwa.
Nasikia analeta wawekezaji wa smartphone kutoka india ma lope bwana mambo yake utafikri yupo vizuri sana kumbe hamna kitu
 
Kijana inaonekana kamshika bi mkubwa haswa, kila anachoambiwa na huyu kijana anakubaliana nacho, hana muda wa kutafakari.

Sasa katoka TANESCO kachemka akiacha safu isiyo na matumaini mpaka kupelekea Mkurugenzi Mkuu na Mwenyekiti wa Bodi kung'oka.

Zengwe limehamishiwa Wizara ya Mambo Nje kwa sasa, anakwenda kupanga safu ya jamaa zake huko Mambo ya Nje, mlioko huko Wizarani Mambo Nje, kama kuna uwezekano wa kufix msilembe.

Bila Katiba Mpya nchi hii itaongozwa na waliotakiwa kuongozwa.
Kumbuka anatoka Tanga, waenda leo kurudi majaaliwa
 
Kijana inaonekana kamshika bi mkubwa haswa, kila anachoambiwa na huyu kijana anakubaliana nacho, hana muda wa kutafakari.

Sasa katoka TANESCO kachemka akiacha safu isiyo na matumaini mpaka kupelekea Mkurugenzi Mkuu na Mwenyekiti wa Bodi kung'oka.

Zengwe limehamishiwa Wizara ya Mambo Nje kwa sasa, anakwenda kupanga safu ya jamaa zake huko Mambo ya Nje, mlioko huko Wizarani Mambo Nje, kama kuna uwezekano wa kufix msilembe.

Bila Katiba Mpya nchi hii itaongozwa na waliotakiwa kuongozwa.
Unajua padogo sana aisee

Foreign ni kitu ingine
 
Kijana inaonekana kamshika bi mkubwa haswa, kila anachoambiwa na huyu kijana anakubaliana nacho, hana muda wa kutafakari.

Katoka TANESCO kachemka akiacha safu isiyo na matumaini mpaka kupelekea Mkurugenzi Mkuu na Mwenyekiti wa Bodi kung'oka.

Zengwe limehamishiwa Wizara ya Mambo Nje kwa sasa, anakwenda kupanga safu ya jamaa zake huko Mambo ya Nje, mlioko huko Wizarani Mambo Nje, kama kuna uwezekano wa kufix msilembe.

Bila Katiba Mpya nchi hii itaongozwa na waliotakiwa kuongozwa.
Yule ni msambaa, ni waongo
 
Back
Top Bottom