Ni wazee gani hao waliolitumikia taifa kwa uaminifu mkubwa ,ikiwa waliingia madarakani maskini na sasa ni mabilionea?,:Membe alidaganya

thetallest

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
8,256
9,085
Baada ya kifo cha hayati Magufuli hayati Membe mara kwa mara aliibuka na kauli kali sana za kumsimanga hayati Magufuli,

Na kwa kufanya hivyo alipigiwa simu za pongezi sana na wapambe wake kupongezwa,na ifahamike kwa umri wake na maadili ya dini yoyote ile yanakataza tabia hiyo.

Swali langu ni wazee gani hao waliolitumikia taifa hili kwa uaminifu mkubwa sana na walitukanwa na hayati Magufuli kupitia Musiba?

Mwenye list ya hao wazee waliolitumikia taifa kwa uaminifu mkubwa anitajie ili tujiridhishe kupitia mjadala huu
 
Membe alikuwa untouchable awamu ya nne,lakini kwa hayati Magufuli kila goti lilipigwa, zile zilikuwa ni hasira za mkizi, hakuna wazee katika ile list ya Musiba waliolitumikia taifa kwa uaminifu, wao na familia zao wamelimbikiza mali kwa fujo sana na wanapigia chapuo kizazi chao kiendeleze huu ubazazi.
 
Na kwa kufanya hivyo alipigiwa simu za pongezi sana na wapambe wake kupongezwa,na ifahamike kwa umri wake na maadili ya dini yoyote ile yanakataza tabia hiyo.
Sasa hivi huko kuzimu aliko tayari ana majibu kama alikosea au alifanya vyema.
 
Back
Top Bottom