Search results

  1. IslamTZ

    Rais Samia anasifiwa sana, hawaju wateule wake kama Jeneali Ulimwengu anavyodai?

    Mimi ni mpenzi wa harakati za Jenerali Ulimwengu katika utetezi wake wa demokrasia, utawala bora na haki za binadamu. Ninachofurahia kuhusu yeye ni kuwa katika kipindi ambacho wengi walinywea na kurekebisha maoni yao yaendane na mazingira ya utawala uliokuwepo katika awamu ya tano, yeye...
  2. IslamTZ

    Shangwe la ‘Mlete Mzungu’ Lina Harufu ya Ubaguzi wa Rangi

    kibwagizo cha Mlete Mzungu kilichoasisiwa na Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba Ahmed Ally alipokuwa akimtambulisha mchezaji wao mpya mgeni, Dejan Georgijević hapo Agosti 8, 2022, siku ya tamasha la klabu hiyo lililofanyika uwanja wa Benjamin William Mkapa, kimepata umaarufu...
  3. IslamTZ

    Mjadala mpana: Rais ateue kuzingatia uwezo tu au angalie uwiano wa makundi pia?

    Tumesikia malalamiko memgi juu ya baraza jipya la mawaziri la Rais Samia. Kuna malalamiko ya kukosekana usawa wa jinsia, mawazir wanawake ni 36% na manaibu ni 20 tu Kuna malalamiko ya kanda fulani kupendelewa, kama mkoa wa Pwani kuwa na mawaziri (na maanaibu) 5 Kuna malalamiko kuwa walioachwa...
  4. IslamTZ

    Ni halali mbunge kuajiriwa Ikulu?

    Swali ni, je ni haramu?
  5. IslamTZ

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Ishu sio hadhi ya mashindano Ishu ni kocha msaidizi hakubaliana na falsafa ya kocha mkuu na hii inatengeneza mkanganyiko. Fei anachezeshwa second striker, yeye kamrudisha namba 8. Naweza kutoa mifano zaidi
  6. IslamTZ

    Kocha wa Rais Samia ni Kikwete, Mabeyo, Chiligati au mwenyewe?

    Kwani lazima awe na kocha? Hii ni dharau kwa wanawake. Kabla ya swali hili, tuambie kwa kutaka kuwafahamu makocha wa marais waliopita: Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli
  7. IslamTZ

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Poor tactic, poor choice of starting lineup...poor everything. Sack Kaze
  8. IslamTZ

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Hakuna kupambana. Coach abebeshwe msalaba
  9. IslamTZ

    UCHAMBUZI: Tulimsoma vibaya Rais Samia

    Hana kwa vigezo gani?
  10. IslamTZ

    Porojo na Uhalisia Katika Kashfa ya Ndugai

    Abuu Kauthar Siku hizi kila jambo linalotokea ni hoja ya kudai katiba mpya. Ni hivyo hivyo imekuwa katika kashfa ya Job Ndugai ya kuipinga serikali na chama chake hadharani, jambo lililopelekea hasira za wana CCM na kulazimika kujiuzulu. Limezungumzwa sana suala la mihimili ya utawala...
  11. IslamTZ

    UCHAMBUZI: Tulimsoma vibaya Rais Samia

    Abuu Islam Utangulizi: Baraza jipya la mawaziri alilolitangaza Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi, Januari 8, 2022 limeshtua wengi. Vigogo, wakiwemo walioibuka katika awamu ya awamu ya tano, Maprofesa Kitila Mkumbo na Palamagamba Kabudi wametupwa, sura mpya, kama Ridhwani Kikwete...
  12. IslamTZ

    Hatuchukii udikteta, tunachukia tunapofanyiwa sisi

    Leo nimepitia makala iliyopo mtandao wa Chanzo ikijadili malumbano yaliyojaa matusi, kashfa na kudhalilishana kati ya Chadema na ACT. Inapatikana HAPA Aya moja inasema: "Lakini katika hali ambayo haikutarajiwa na wengi, mnyukano huu wa maneno kati ya makada wa ACT-Wazalendo na CHADEMA...
  13. IslamTZ

    Tuwasemee na wale wengine wanaoozea mahabusu kwa 'ugaidi wa michongo'

    Mimi ni katika watu waliosikitishwa sana na kesi ya ugadi aliyobambikiwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe. Hii inaonesha suala la haki za raia lina mushkili sana. Fikiria kama inaweza kufanyika hivi kwa mtu mkubwa kama Mbowe, vipi hali zetu sisi wa kawaida? Hata hivyo, wakati tukishinikiza...
  14. IslamTZ

    NEW REPORT: Monitoring the Watchdog: How the media covered the 2020 elections

    Haya mzigo huo wa Kiswahili na Kiingereza
  15. IslamTZ

    NEW REPORT: Monitoring the Watchdog: How the media covered the 2020 elections

    Kwa wasomaji, pokeeni (attached) ripoti mpya iliyosambazwa leo hii iitwayo: 'Monitoring the Watchdog: How the media covered the 2020 elections'
  16. IslamTZ

    Mgao wa Maji ni Somo Kwetu Kuhusu Ubaya wa Ufujaji

    Well. mi nimeweka tu andiko. Hata sijui kama ni shindano na lina muda maalum🤷‍♂️
Back
Top Bottom