Leo katika pita pita kwenye kupatana nimekutana na hii.....nikasema ngoja niisome nilipo soma mpaka mwisho nikaona kwa vile mimi nina DSTV ISIWE tabu ngoja niwapigie hawa watu
Nikaongea nae na...
habari zenu wanajamvi.
naomba msaada nina simu aina ya infinix note 3 yenye internal storage 16 gb na free space hadi ss ni 14 gb kma inavyoonekana hapo kwnye screen shot lakini nikitaka kuinstall...
Mimi ni Blogger na kwamuda mrefu nimekuwa nikifanya kazi na mtandao waBidVertiser - Webmasters Make Money With Pay Per Click Affiliate Program. ambao unasave matangazo kwenye blog yangu halafu...
Wasalaam..
Kama kichwa inavosema.. Account yangu ya Instagram imekua hacked na haipo tena kwa mtaalamu yoyote msaada jamani.. Nilikuwa naitumia ki biashara.. Ndio maana nahiitaji back.. Ningekua...
Nimeona tangazo kuhusu app hiyo kuwa naweza uza kitabu. Nimeiinstall ila bahati mbaya hawajaweka contacts. kama kuna mtu anafahamu namna ya kuwasiliana na wamiliki wa hiyo app (Jackson group...
Wakuu mbali na Usumbufu ambao Ninakutana nao Unakuta Niko kwenye foleni Nataka niangalie Taarifa ya Habari hiyo Sehemu Iliyoandikwa ITV hata huikuti hiyo Channel unaona Giza tuu
Usumbufu...
wakuu simu inataka nitumie Nano SIM card na mimi nina micro. Nimeangalia youtube tutorial za jinsi ya kukata nimeona kama ni risk. kuna namna naweza pata kirahisi. hivi mitandao ya simu hawawezi...
Habari wana JF,
Naamink hapa ni suluhisho la mambo mengi,
Nimeibiwa simu yangu Smartphone aina ya TECNO BOOM J8, ina taarifa zangu nyingi muhimu sana,
Naomba msaada wenu wa namna ya kumtrack huyu...
Wadau nimetafuta uzi unaohusiana na hicho kichwa humu sijaona,nadhani basi hili jambo bado watu watakuwa halijaanza kuwagusa.Ila kwa wale wapakuaji wa adobe products kule torents saa hizi...
Kama kuna fundi yeyote wa pc' hapa jukwaani yupo kariakoo anichekie keyboard ya pc angu niweze kutengeneza,kuinstall window 8.1 pamoja na vitu vingine vinavosumbua katika laptop yangu,awe na bei...
Hi, naomba minijuzee jinsii ya kutoa pesa paypal, nimekua nikifanya freelancing kwenye website na nimefikia kupata $200 per week(sio nyingi ila nikitu). shida yangu sasa hivi ni jinsi ya kuzitoa...
Wadau katika kupita pita kwenye website za muziki nimekutana na nyimbo ambazo nazihitaji, ila zina option ya kuplay online tu!
Hapa nimehangaika kutafuta app nimeshindwa, natumia simu! Nadhani...
It's no secret Mark Zuckerberg is pinning Facebook's prospects on augmented reality — technology that overlays digital imagery onto the real world, like Snapchat's signature camera filters.
At...
Kufanya Livestreaming kutoka kwenye kompyuta yako kwenda kompyuta nyingine au simu(smartphone)
Kama unatazama video au unasikiliza audio kupitia vlc basi unaweza fanya vifaa vya watu wengine kama...
Nina laptop aina ya dell inspiron, shida ni kuwa nikiiwasha, pale mwanzon huwa kuna kialama flan ka dell, alaf kwa chini kuna kimstari kinakuwa kinasogea, kikifika mwisho ndo windows inaanza, lkn...
HUENDA HII IKAKUSAIDIA SIKU MOJA!
Endapo utavamiwa na majambazi na wakakulazimisha kuwatolea pesa kwenye ATM, ili kuokoa maisha yako, wala usitaharuki.
Unachopaswa kufanya ni kuingiza namba ya...
TAFADHALI WATAALAMU MLIOMO HUMU, NAOMBA MUONGOZO JINSI YA KUTUMIA ROUTER KWA SMART TV,.. JE, NIKIWA NA ROUTER PEKEE INATOSHA? AMA HADI NIUNGE NA MODEM? NA KAMA NDIVYO, KWAMBA NI LAZIMA NIWE NA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.