Laptop yangu inarebot

msukuma01

Member
Jan 4, 2016
37
9
Nina laptop aina ya dell inspiron, shida ni kuwa nikiiwasha, pale mwanzon huwa kuna kialama flan ka dell, alaf kwa chini kuna kimstari kinakuwa kinasogea, kikifika mwisho ndo windows inaanza, lkn mm kangu hakifiki mwisho inaruka inaanza mwanzo tena km ndio nmeiwasha...
Yaan windows haianzi kbsa.. Nmeingia ktk bios lkn sion kitu, maana c mtalaam sana wa hayo mambo, ila nikielekezwa cha kufanya naweza..
Mnisaidie wataalamu wa haya mambo
 
Back
Top Bottom