Nahitaji kufanya PC maintenance saiv kariakoo

Blank page

JF-Expert Member
May 28, 2015
5,212
4,328
Kama kuna fundi yeyote wa pc' hapa jukwaani yupo kariakoo anichekie keyboard ya pc angu niweze kutengeneza,kuinstall window 8.1 pamoja na vitu vingine vinavosumbua katika laptop yangu,awe na bei rahis affordable kwa mimi.nipo njiani naelekea kariakoo saiv.so tuchekiane wakuu kama mpo kwa haraka asubuh hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom