Mark Zuckerberg: The end of smartphones and TVs is coming

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
It's no secret Mark Zuckerberg is pinning Facebook's prospects on augmented reality — technology that overlays digital imagery onto the real world, like Snapchat's signature camera filters.

At this year's F8 conference, taking place this week, Zuckerberg doubled down on the company's ambitious 10-year master plan, which was first revealed in 2016. According to this timeline, Facebook expects to turn artificial intelligence, ubiquitous internet connectivity, and virtual and augmented reality into viable parts of its business over the next decade.

The Facebook 10-year road map, first revealed in April 2016.Facebook

sP1g9kx7oK_1lW2YxBAA5ncL-kT8bDm6cGvxMBnaY3Q.png

Image: Facebook
To accelerate the rise of augmented reality, a big part of the plan, Zuckerberg unveiled the Camera Effects platform — basically a set of tools for outside developers to build augmented-reality apps that you can access from the existing Facebook app's camera. That would theoretically open the door for Facebook to host the next phenomenon like "Pokémon Go."

While this announcement seems pretty innocuous, make no mistake — Facebook is once again putting itself into direct competition with Google and Apple, trying to create yet another parallel universe of apps and tools that don't rely on the smartphones' marketplaces. As The New York Times notes, Zuckerberg has long been disappointed that Facebook never built a credible smartphone operating system of its own.

This time, though, Facebook is also declaring war on pretty much everyone else in the tech industry, too. While it'll take at least a decade to fully play out, the stuff Facebook is talking about today is just one more milestone on the slow march toward the death of the smartphone and the rise of even weirder and wilder futures.

Why buy a TV?

Zuckerberg tipped his hand, just a bit, during Tuesday's Facebook F8 keynote. During a demo of the company's vision for augmented reality — in the form of a pair of easy-to-wear, standard-looking glasses — he showed how you could have a virtual "screen" in your living room, bigger than your biggest TV.

"We don't need a physical TV. We can buy a $1 app 'TV' and put it on the wall and watch it," Zuckerberg told USA Today ahead of his keynote. "It's actually pretty amazing when you think about how much of the physical stuff we have doesn't need to be physical."

That makes sense, assuming you're into the idea of wearing a computer on your face (and you're OK with Facebook intermediating everything you see and hear, glitches and all).

But it's not just TVs. This philosophy could extend to smartphones, smartwatches, tablets, fitness trackers, or anything else that has a screen or relies on one to work. Zuckerberg even showed off a street art installation that's just a blank wall until you wave the Facebook camera app over it to reveal a mural.

For Microsoft, which has already dipped its toe in this area with its HoloLens holographic goggles, this is a foregone conclusion. HoloLens boss Alex Kipmanrecently called the demise of the smartphone the "natural conclusion" of augmented reality and its associated technologies.

War of the worlds

The problem, naturally, is that a huge chunk of the world's economy hinges on the production of phones, TVs, tablets, and all those other things that Facebook thinks could be replaced with this technology.

Even Zuckerberg acknowledges it's a long road ahead. That said, this Camera Effects platform, should it succeed in attracting a bunch of users, could go down as a savvy move. The apps that are built for the Facebook Camera today could wind up as the first versions of the apps you'd use with those glasses.

In the short term, Facebook's play for augmented reality is going to look a lot like competing with Snapchat — and in a meaningful way, it is. Facebook needs developer and user love, so it needs to keep offering fun and funny tools to keep people from moving away from using its apps.

In the long term, though, this is Facebook versus everybody else to usher in an age of a new kind of computing — and pretty much every tech company out there will get caught in the crossfire, as Apple, Google, Microsoft, and more rush out their responses to this extremely existential, but still meaningful, threat.


Maxence Melo CHIEF MKWAWA
 
next level artificial intelligence, wa tz tunaona haya mambo ni yakufikirika wakati wenzetu tayari wako lab wanatest namna ya kuimpliment.

Mwanzoni mwa miaka ya tisini zilianza movie zinazohusisha laptop, hapo laptop ikipewa uzito usiofikirika, yani bodyguard wa rahisi kila aendapo anayo, unapoambiwa mambo yote kuhusu taifa yap kwenye briefcase computer unaona ni acting tu, kumbe huko watu wapo labs, leo watu wanaona kitu cha kawaida tu.

its just a matter of time hata hizi tv zitakuwa hazina maana, sababu kabla haijafika saa mbili tayari ishapata habari zote kiganjani mwako, tena as they happened, opinion za watu wengine ushazisoma, wenye hulka na habari za saa mbili siku hizi ni wazee wetu ambao bado wapo kwenye industrialization era, majority ya vijana tupo kwenye information era, kila kitu kiganjani mwako.

Tatizo kubwa lililopo ni vyuo vyetu bado vipo na sylabus za 90s, India ni wajanja sana, sylabus vyuoni maximum ni three years, matokeo yake engineer wa tz upande wa technology hana tofauti sana na mtu yeyote aliye na interest na technology.
 
Way to go mark... but lakini mashaka yangu yako pale pale... how safe is AI? professor steven hawkin. Alisema iwapo tutaipa AI high access to our daily life, bas an AI itataka kututawala na sisi kuwa watumwa.. and maybe kuwadhuru wanadam hapo baadae.
 
Labda niwaweke sawa richa ya ayo maendeleo zingatia vitu ivi
1)simu ata iwe nauwezo wakukupa taarifa vipi uwe na app ya TV nakadharika lakini umuhimu was TV upo palepale asikwambie mtu kuangalia video katika kioo kikubwa ni raha

2)ata ikija iyo technology ya kuwasiliana kwakutumia hisia lakini ukumbuke kuchati kwa kutype kuna rahauake mtu kama mimi nitakuwa nachati kama kawa

3)ije iyo technology kwamba amna aja ya kununua physical TV eti utakuwa unapata TV kupitia app then unacheki kwenye ukuta mti kama mimi still nitaitaji physical TV kwasabu kwangu Mimi TV inakazi nyingi moja wapo ni urembo wa chumba/nyumba

NB:chakuongezea smartphone ata zije na uwezo gani kuishinda laptop still laptop itabaki kuwa na heshima yake ileile kwasabu simu aiwezi kuperform kazi kwa weredi kama laptop bali ni kufosi tu,pia laptop INA raha yake usiongee tu kwasabu unamiliki laptop ya lakimbili nakati kuna vinu vinafika millioni tano

PLEASE usitafute makosa kutype sikazi rahisi we toa hoja
 
Zuckerberg ni mtoto mdogo tu yule.
Ma developer wake wajipange tena kuwaza vzur.
Hii project anayo isema mbona watu tulisha iona kwenye mafile ya goole.
Tena walivo ona hainaga ushemela ndo waka iachia watu tuione waz.
Atafanikiwa lkn maana nothing is impossible under development.
Ila sio leo kesho kutwa wala ntondo go.
Google ni mijitu mingine bana pov!
 
Labda niwaweke sawa richa ya ayo maendeleo zingatia vitu ivi
1)simu ata iwe nauwezo wakukupa taarifa vipi uwe na app ya TV nakadharika lakini umuhimu was TV upo palepale asikwambie mtu kuangalia video katika kioo kikubwa ni raha

2)ata ikija iyo technology ya kuwasiliana kwakutumia hisia lakini ukumbuke kuchati kwa kutype kuna rahauake mtu kama mimi nitakuwa nachati kama kawa

3)ije iyo technology kwamba amna aja ya kununua physical TV eti utakuwa unapata TV kupitia app then unacheki kwenye ukuta mti kama mimi still nitaitaji physical TV kwasabu kwangu Mimi TV inakazi nyingi moja wapo ni urembo wa chumba/nyumba

NB:chakuongezea smartphone ata zije na uwezo gani kuishinda laptop still laptop itabaki kuwa na heshima yake ileile kwasabu simu aiwezi kuperform kazi kwa weredi kama laptop bali ni kufosi tu,pia laptop INA raha yake usiongee tu kwasabu unamiliki laptop ya lakimbili nakati kuna vinu vinafika millioni tano

PLEASE usitafute makosa kutype sikazi rahisi we toa hoja
Amemaanisha augment reality aka AR technology inayoenda sambamba na VR (virtual reality)

Huwezi ukataja AR bila kumtaja microsoft na miwani zake za Hololens,

Japo thread inafanya kama vile facebook ndio wameanza lakini ukweli ni facebook, Aplle na Google ndio wanaomkopi microsoft sababu ni miaka imepita toka hololens itoke.

Hizi AR na VR ni miwani unavaa, AR unavaa miwani, unaona mazingira ya nje na unaona pia picha au video kwa pamoja wakati VR huoni mazingira ya nje bali unaona tu picha au video,

Mfano wa VR angalia hii picha.

2787335-hololens4.jpg


Huyo ni mwanamke anaongea na mtu kupitia skype ambayo ipo kama kwenye tv/monitor ya kufikirika anaelekezwa namna ya kufix bomba la sink/karo

Hivyo unaona hapo ukiwa na hizi miwani unaweza ukatengeneza mwenyewe kama ni tv then ukaangalia movie fresh tu.

Technology bado ni changa ila inakuwa, big players wote wapo humu kuanzia kina amazon, Nokia, samsung, Google, Facebook, Apple, Microsoft etc
 
Zuckerberg ni mtoto mdogo tu yule.
Ma developer wake wajipange tena kuwaza vzur.
Hii project anayo isema mbona watu tulisha iona kwenye mafile ya goole.
Tena walivo ona hainaga ushemela ndo waka iachia watu tuione waz.
Atafanikiwa lkn maana nothing is impossible under development.
Ila sio leo kesho kutwa wala ntondo go.
Google ni mijitu mingine bana pov!
Microsoft ndio wa kwanza kuanza na AR na facebook wao ndio wa mwanzo kwenye VR kupitia kampuni yao ya oculus rift, zile google glass zipo zipo tu ni gimmick device na zilishafeli, google wenyewe wamezi discontinue na sasa wamejipanga kurudi tena na VR na AR
 
Back
Top Bottom