Pesa inagoma kuingia kwenye account yangu ya Paypal

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,845
Reaction score
4,776
Mimi ni Blogger na kwamuda mrefu nimekuwa nikifanya kazi na mtandao waBidVertiser - Webmasters Make Money With Pay Per Click Affiliate Program. ambao unasave matangazo kwenye blog yangu halafu ikifika USD 100 au zaid unatumiwa kwa Western Union, sasa miezi miwili iliyopita walisitisha kutuma pesa Western Union kitendo kilichofanya nichague paypal kama payment method mpya..... Sasa mwezi uliopita hawajanitumia wala mwezi huu.... Baada ya kuwasiliana nao wakasema kila wanapojaribu kutuma mfumo unagoma wakanishauri kuwasiliana na Paypal, nikatuma e mail kwenda Paypal na wakanijibu kuwa huduma hiyo haijaanza kutolewa Tanzania, nikawaambia wakubali fedha iingie kwenye account ili niitumie kwa manunuzi mengine online ila wakakataa, wanasema hawawezi kupokea pesa bila makubaliano kati yao na nchi yangu........
Sasa nitaipataje? Nikifungua account nyingine nikaweka taarifa kuwa nipo Kenya nitafanikiwa kutumiwa maana nataka kuitumia kufanya manunuzi tu ya bidhaa mbalimbali. Naombeni uzoefu wadau kama UncleUber
 
Last edited by a moderator:

asante kwa kutu refer na sisi huko Bidvertiser

Tukirudi kwenye mada Kuu Ni kweli TZ haiwezi pokea hela Na ku withdraw hela kwa PayPal sababu limitations zilizopo hapa nchini

Na iwapo utawa Fake Paypal kwa account ya Kenya watakuomba Passport ambayo inathibitisha majina na Location yako
Unaweza tumiwa hela ya kwanza waka potezea ila hela ya pili watakubania tu na watakudai hizo details

Ningekushauri utafute mbadala i.e utaje Options zingine wanazotoa, kama scenario unayosema ni kweli
 
asante kwa kutu refer na sisi huko Bidvertiser

Yukirudi kwenye mada Kuu Ni kweli TZ haiwezi pokea hela Na ku withdraw hela kwa PayPal sababu limitations zilizopo hapa nchini

Watu wa Us na Canada wenyewe wanalipwa kwa cheque nje walikuw wanatutumia kwa WU kama AdSense wanavyofanya ila wamefuta WU ndo mkwanja unagoma kuja
 
asante kwa kutu refer na sisi huko Bidvertiser

Yukirudi kwenye mada Kuu Ni kweli TZ haiwezi pokea hela Na ku withdraw hela kwa PayPal sababu limitations zilizopo hapa nchini

Na iwapo utawa Fake Paypal kwa account ya Kenya watakuomba Passport ambayo inathibitisha majina na Location yako
Unaweza tumiwa hela ya kwanza waka potezea ila hela ya pili watakubania tu na watakudai hizo details

Ningekushauri utafute mbadala i.e utaje Options zingine wanazotoa, kama scenario unayosema ni kweli

Mkuu nashukuru sana...... Nilifungua account nikaijaza as if naishi Kenya..... Jana wamenilipa na nimefanya malipo online imekubali bila shaka. I wish Magufuli afanye ziara ya kushtukiza TCRA wamweleze nikwanini mpaka leo Bongo hakuna huduma ya Paypal!
 
Kwanza nikusaidie Kitu Kimoja hapo TCRA hawahusiki na swala la Malipo kwa njia ya Mtandao wao wanahusika na maswala ya mawasiliano. anayehusika ni Benki Kuu ya Tanzania (BOT).

Turudi kwenye mada Ni kweli ukitumiwa pesa kwa njia ya paypal kama wewe ulijisajili kwa kujaza Details za Tanzania pesa hupati wala hutoi. halafu ukifungua page ya paypal ambayo imejazwa kwa details za Tanzania ni tofauti sana na page ya paypal yenye details za Kenya au Nchi yoyote inayoweza kupokea pesa na kutoa pesa kwa paypal.

Nini Kitatokea Endapo ukijaza Kwa kuweka Details za Kenya.
Kwa Uzoefu ulinikuta ndani ya kipindi cha kuanzia October 1 2015 ni kwamba nilijaza details zangu zote zikiwa sahihi ila tu uraia nikasema mimi Ni Mkenya. Baada ya hapo Nikaverify akaunti yangu ya Paypal fresh na ikakubali na wahusika wakaniingizia pesa kwa mara ya kwanza Pesa ikaingia, Kwasababu nilichokifanya nakijua kuwa muda wowote wakipitisha lenzi zao watagundua na kutaka niwatumie vithibitisho vya kwamba mimi ni mkenya kwa hiyo nikanunua kitu kwenye mtandao wa Ebay. usiku wa Siku hiyo niliyonunua Ebay nikatumiwa pesa tena baada ya kumaliza kazi na hao watu ndipo kesho yake sasa nikakutana na Email kutoka paypal inayoniambia kuwa natakiwa kusubmit vifuatavyo 1: Photo Id kwaajili ya kuthibitisha Jina langu 2: One copy of any of Utility Bill kwaajili ya kuthibitisha Mtaa na eneo ninaloishi ambapo details hizo zifanane na zile nilizojaza kwenye paypal wakati najisajili 3: Maelezo ya transcation zote zilizofanyika katika akaunti yangu ya paypal.

Kwasababu Sikuweza kuwa na vithibitisho vinavyoweza kuwaridhisha kuwa mimi ni Mkenya nikawatumia tu Kitambulisho changu cha Kupigia Kura basi na maelezo ya transaction zilizofanyika.

baadae wakasema kuwa inaonekana nimefungua akaunti ya paypal kwenye nchi ambayo inaruhusu paypal lakini Nimefanya transaction kwenye nchi isiyoruhusu paypal kwahiyo wataizuia akaunti yangu kuweza kufanya miamala yoyote ile na kubadili baadhi ya taarifa katika akaunti yangu hiyo kwa muda wa Siku 180 ambapo kwangu ni mpaka tarehe 31 March 2016 ndipo watanitumia email tena ya kunitaarifu kuwa naweza kutoa pesa zilizopo kwenye akaunti yangu hiyo na endapo ikifika tarehe hiyo sijapokea E-mail basi niwataarifu na wao watafanyia kazi fasta. Hiyo ndio litakalotokea endapo utashindwa kuthibitisha kuwa wewe ni mkenya

NINI KIFANYIKE
Nadhani kwa sasa tusubiri Rais afanye yake maana siku ya 25 leo hakuna waziri hata mmoja zaidi ya Kiranja Mkuu na nchi hii inaendeshwa na jeshi la Watu watatu tu mpaka. Tusubiri ateue Waziri Wa Fedha then baada ya hapo tunaweza sasa kujiorganize sisi wadau ambao tunahitaji sana hii huduma tukakutana tukajadiliana na kujipanga na ikiwezekana hata kuandika paper itakayoshawishi then tukaenda wizara ya fedha kuomba appointment na Waziri na Kumuelezea jinsi ambavyo paypal inafanya kazi, na serikali inawezaje kunufaika na paypal, na Wananchi tunawezaje kunufaika na paypal pia then tukamkabidhi na kusubiri matokeo.

Au Kama sio waziri basi tukajipanga kuomba appointment na Mkuu wa Idara ya Malipo wa Benki Kuu ya Tanzania huyu ndio mtu pekee ambae anaweza pia kushawishi maana juzi tu niliona ametangaza kuruhusu TISS kufanya kazi masaa 24 katika mabenki yetu. Mwenye Kuongezea pia anakaribishwa
 
Ahsante kwa maelezo. Mimi kwenye uraia nimejaza ni mtanzania lakini mahali ninapoishi ndo nimejaza Kenya..... Ninachohitaji kujua endapo wataizuia account yangu vitu nilivyo nunua jana vitazuiliwa njiani au nitavipata?
 
Kama vitu ulivyonunua na pesa ikakatwa basi hivyo vitu utavipata tu wala haviwezi kuzuiliwa ila tu jiandae na Kodi Maana Mkuu wa Kaya wa Sasa hana Mchezo
 
Halafu nimetumia anwani ya Posta kawaida sijui watavichakachua au vipi? Pia waliniambia vikitumwa watanitaarifu kwa e mail. Sijajua itachukua muda gani.
 
Kama N Posta Weka %40 Ya Kuvipata
 
Mkuu nashukuru sana...... Nilifungua account nikaijaza as if naishi Kenya..... Jana wamenilipa na nimefanya malipo online imekubali bila shaka. I wish Magufuli afanye ziara ya kushtukiza TCRA wamweleze nikwanini mpaka leo Bongo hakuna huduma ya Paypal!
Mkuu,
Umetumia benki gani?
 
Hizi taarifa sina uhakika nazo niliona humu humu JF kwamba ukiwa na account ya BancABC inakuwezesha mpaka kupokea hela to kwenye account ya paypal
 
Uongo huo!
akaunti ilofunguliwa kwa adress tlya TZ haiwezi kamwe pokea Hela hata utumie card ya USA
 
Kwanza nikusaidie Kitu Kimoja hapo TCRA hawahusiki na swala la Malipo kwa njia ya Mtandao wao wanahusika na maswala ya mawasiliano. anayehusika ni Benki Kuu ya Tanzania (BOT).

BOT nilituma maswali yangu mail ika bounce kuwa mailbox ya muhusika iko full. Nikajaribu njia zote lakini Holla!
BOT ni taasisi muhimu sana lakini ambayo iko mbali sana nasi na hili ni jambo la kusikitisha sana.

Tafadhali usiniambie niende ofisini kwao kwa sababu kama ni hivyo hawakupaswa kuwa na Site wala Emails.

Mpaka leo nimebaki na matatizo yangu :angry:
 
Au Kama sio waziri basi tukajipanga kuomba appointment na Mkuu wa Idara ya Malipo wa Benki Kuu ya Tanzania huyu ndio mtu pekee ambae anaweza pia kushawishi maana juzi tu niliona ametangaza kuruhusu TISS kufanya kazi masaa 24 katika mabenki yetu. Mwenye Kuongezea pia anakaribishwa
Una Contact za huyu ndugu? Kama unazo naomba uni PM. Tanzania inatakiwa ibadilike na ni sisi tunaojua umuhimu wa haya mambo na tunaoumia ndio tunapaswa kuwakilisha kwa wakuu hawa!
 
Ni kweli unachokisema mkuu na hili ni tatizo haswa la nchi yetu kwasababu taasisi kama BOT na nyingine zilipaswa na zinapaswa kuwa karibu na wananchi wake kwasababu kuna taarifa muhimu ambazo wao wanaweza kuzipata kutoka kwa wananchi na pia kuna taarifa muhimu sisi kama wananchi tunaweza kuzipata kutoka kwao.lakini wao hawafanyi hivyo.
 
Back
Top Bottom