Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Wakuu mbali na Usumbufu ambao Ninakutana nao Unakuta Niko kwenye foleni Nataka niangalie Taarifa ya Habari hiyo Sehemu Iliyoandikwa ITV hata huikuti hiyo Channel unaona Giza tuu
Usumbufu Mwingine Nime experience Kwenye Mpira Channel za Azam Siku ya Mpira wa Live kamwe haziwezi Kuonesha kupitia hizi app sasa zinakua za Nini.
Mnavyoandaa Kitu Please hebu Kaa nacho hadi miezi angalau 6 ukipima ubora wake kabla ya Kupeleka kwa Watu andaa na Njia Mbadala kupata channel tena kama Wata Block.