mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,311
- 944
Habari wakuu,kuna best yangu anataka kununua flat screen ya kampuni ya startimes.ushauri kwa mliowai kutumia hizi tv zina ubora??
Bajet yake imekaaje? Anataka inches ngapi?Habari wakuu,kuna best yangu anataka kununua flat screen ya kampuni ya startimes.ushauri kwa mliowai kutumia hizi tv zina ubora??
Mkuu. Mimi nimeelewa kuwa, anataka flat screen zinazouzwa na startimes, zile zenye kisumbusi chake ndani kwa ndani. Sio hizo za Samsung, Sony nk..Bajet yake imekaaje? Anataka inches ngapi?
Kama yupo serious Acheze kwenye LG Samsung sony au kama hayupo vizur sana basi kuna TLC.
Uzuri wa hizo brand kubwa tatu ni customers support itakuwepo kupitia service center zao hapa nchini kwetu..pia ni brand ambazo zipo serious kazini plus warranty za uhakika.
Hajasema anataka startimes zenye king'amuzi chake ndani...
Inchi 24Bajet yake imekaaje? Anataka inches ngapi?
Kama yupo serious Acheze kwenye LG Samsung sony au kama hayupo vizur sana basi kuna TLC.
Uzuri wa hizo brand kubwa tatu ni customers support itakuwepo kupitia service center zao hapa nchini kwetu..pia ni brand ambazo zipo serious kazini plus warranty za uhakika.
Hata kama haina kisimbuzi sawa tu mkuuMkuu. Mimi nimeelewa kuwa, anataka flat screen zinazouzwa na startimes, zile zenye kisumbusi chake ndani kwa ndani. Sio hizo za Samsung, Sony nk..
Bajeti yake laki tatuBajet yake imekaaje? Anataka inches ngapi?
Kama yupo serious Acheze kwenye LG Samsung sony au kama hayupo vizur sana basi kuna TLC.
Uzuri wa hizo brand kubwa tatu ni customers support itakuwepo kupitia service center zao hapa nchini kwetu..pia ni brand ambazo zipo serious kazini plus warranty za uhakika.
Ninzur sana mimi nawenzangu wengi tunatumia nch 42 kwa jiwe saba na nusu.Hata kama haina kisimbuzi sawa tu mkuu
Za kampuni ganiAje Nimuuzie Za Mtumba INchi 24 Kwa Laki Mbili Na 80
Ni nzuri sana, hasa kwa hizi zilizokuja kipindi hiki.Hata kama haina kisimbuzi sawa tu mkuu
Asante kwa ushauriNi nzuri sana, hasa kwa hizi zilizokuja kipindi hiki.
Nafikir hadi kwa 350 unaeza pata brand kubwa hizo...mi sikushaur hizo startimesInchi 24
TLC bei gan inchi 24Nafikir hadi kwa 350 unaeza pata brand kubwa hizo...mi sikushaur hizo startimes
Sijafuatilia bei...ila niliona inch 32 wanauza 450...hivyo unaeza kadiria 24 itakua kias gani mkuu..we pita madukan utapata bei ya uhakika tu.TLC bei gan inchi 24