Nawezaje kuuza kitabu kupitia kitabu app?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,657
20,940
Nimeona tangazo kuhusu app hiyo kuwa naweza uza kitabu. Nimeiinstall ila bahati mbaya hawajaweka contacts. kama kuna mtu anafahamu namna ya kuwasiliana na wamiliki wa hiyo app (Jackson group Tanzania) naomba anijuze.
 
Back
Top Bottom