Msaada: internal storage ya simu

Msaada: internal storage ya simu

RJ45

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2014
Posts
340
Reaction score
119
habari zenu wanajamvi.
naomba msaada nina simu aina ya infinix note 3 yenye internal storage 16 gb na free space hadi ss ni 14 gb kma inavyoonekana hapo kwnye screen shot lakini nikitaka kuinstall applications au kudownload nyimbo, video au mafile mengine inasema no enough storage.
tatizo nini!? au ndo nimeshikishwa copy maana cm ni mpya sjamalza nayo hata mwezi mmoja.
natanguliza shukrani!
 

Attachments

  • IMG-20170427-WA0022.jpg
    IMG-20170427-WA0022.jpg
    35.2 KB · Views: 81
  • IMG-20170427-WA0021.jpg
    IMG-20170427-WA0021.jpg
    27.1 KB · Views: 68
  • IMG-20170427-WA0020.jpg
    IMG-20170427-WA0020.jpg
    27.3 KB · Views: 68
  • IMG-20170427-WA0018.jpg
    IMG-20170427-WA0018.jpg
    39.8 KB · Views: 69
  • IMG-20170427-WA0017.jpg
    IMG-20170427-WA0017.jpg
    28.9 KB · Views: 71
Ngoja waje. Futa programs zilizokuja simu ambazo huzihitaji
 
mkuu hili tatizo lipo sana simu za Tecno na ndugu zake, sina uhakika sana ni nini, ila ninavyohisi ni kwamba Tecno wanataka kukufanyia kila kitu kwenye simu yako mwisho wa siku apps zinakosa permission na yanatokea mambo kama hayo.

hapo itakuwa playstore haina access na storage ndio maana haizioni hizo gb 14, hebu jaribu kwenda setting then apps (application au application manager) then itafute playstore au play service then nenda permission angalia kama inaweza kuandika na kufuta kwenye storage.

au cheki ile app yao inayokuja na simu kama hi manager (sijui kwenye infinix kama ipo) angalia kama kuna permission kule
 
Back
Top Bottom