inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 594
- 637
Wadau nimetafuta uzi unaohusiana na hicho kichwa humu sijaona,nadhani basi hili jambo bado watu watakuwa halijaanza kuwagusa.Ila kwa wale wapakuaji wa adobe products kule torents saa hizi ukikapkua na kutakaku instal,inakataa na kukuambia hiyo software siyo genuine.Najua humu kuna wataalam,watusaidie nini solution.Mfano mimi niyo adobe ps nilipakuaga zamani lakini saa hizi nikitaka kuistal inagoma na kuniambia siyo genuine.Nahisi sina ujanja,msaada tafadhali.
cc Chief Mkwawa.
cc Chief Mkwawa.