Napata wapi nano SIM card?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,657
20,940
wakuu simu inataka nitumie Nano SIM card na mimi nina micro. Nimeangalia youtube tutorial za jinsi ya kukata nimeona kama ni risk. kuna namna naweza pata kirahisi. hivi mitandao ya simu hawawezi nibadilishia?
 
Mini-SIM-Micro-SIM-Nano-SIM.png
 
Halotel,Zante,tigo,Ttcl na Airtel wote wanazo hizo nano simcard.
Voda sijaona bado

Chukua line ya kawaida ya 4G or 3G nenda kwa wauza line wakukatie mara moja. Yangu ni NANO - SIM natumia Airtel, TIGO na Halotel zote zimekatwa na Hao wauza line. Omba wakukatie Size ile ndogo kabisa ambayo ni Nano Sim. Bei Tshs 2000 kukata + bei ya line 500 JUMLA 2,500
 
wakuu simu inataka nitumie Nano SIM card na mimi nina micro. Nimeangalia youtube tutorial za jinsi ya kukata nimeona kama ni risk. kuna namna naweza pata kirahisi. hivi mitandao ya simu hawawezi nibadilishia?
Kukata ni 1000 tu, wauza laini karibia wote wa mitaani wanavimashine vya kukatia.....
 
Sio risk sana (kwa uzoefu wangu mdogo) maana wanakata na kitu maalumu kwa kazi Hiyo...mi nilikata simcards milk ni zaidi ya mwaka sasa hazing tabu yoyote
Kuna Siku Nilijifanya Mjanja Kukata Kwa Kulinganisha na Nyingine aisee Bila Kitu maalumu Huwezi!
 
Hahhahah....pole sana mkuu.....aisee hizi nano simcards hazipaswi kukatwa bila kifaa maalumu...ni rahisi kuharibika
 
Chukua line ya kawaida ya 4G or 3G nenda kwa wauza line wakukatie mara moja. Yangu ni NANO - SIM natumia Airtel, TIGO na Halotel zote zimekatwa na Hao wauza line. Omba wakukatie Size ile ndogo kabisa ambayo ni Nano Sim. Bei Tshs 2000 kukata + bei ya line 500 JUMLA 2,500
Nimeenda kwa wauza line. wanakamashine kama kakutobolea makaratasi ya kuweka kwenye mafile. wamenikatia vizuri sana kwa 1,000. shukrani.
 
Back
Top Bottom