MSAADA WA TEKIHAMA: Nimeibiwa TECNO BOOM J8, nawezaje kumkamata mwizi!

GreenStone

Senior Member
Apr 27, 2015
159
87
Habari wana JF,
Naamink hapa ni suluhisho la mambo mengi,
Nimeibiwa simu yangu Smartphone aina ya TECNO BOOM J8, ina taarifa zangu nyingi muhimu sana,
Naomba msaada wenu wa namna ya kumtrack huyu kibaka,
Pia wameniibia Card za benki, vitambulisho na driving licence.
Walikata nyavu ya drisha na kufanikiwa kuniibia,
Naombeni mawazo yenu wakuu!
 
Pole pia tuma picha ya sehemu ya dirisha ilipokatwa watu ndio wataamini haraka
 
Kuja sm moja mtu alidondosha yule aliyeiokota hawez kuitumia mpaka leo koz inadai pasword hata baada ya kkuiflash akiweka lain yeyote yile alopoteza sm antumiwa ujumbe kuwa kuna lain namba flan ewekwa katika hyo sm mm naoma watanzania hatuna elim tu ya hayo mambo lakini nna hakika sm haiibiw alaf mtu akaweza kuitumia
 
Ni kweli kaka, nimewatumia meseji hii,

Najua mmefanikiwa kuniibia, naombeni mnirudishie vitambulisho vyangu mvitupie tu hapa,

Nilituma kwenye namba yangu ya simu waliyoiba, maana nina simu mbili,
Wamenielekeza walipoweka vitambulisho, ndo nimevichukua.

Wamesema but simu wamekomaa nayo
 
Hiyo simu document zake ninazo, kwahiyo nifanyeje niweze kumtrack aliyeiba au atakaeuziwa.
 
We nenda polisi nna hakika kama unayo imei ya sm watweza kukusaidia au watakuelekeza sehem sahihi. Mm sijui kuhusu haya mambo kwa undan ila tu nilitaka kukuambia kitu kinachowezekana ambacho mm nimekishuhudia
Inawezekana ni polis wenye icho kitengo au hawa watu wa mitandao yani tigo na voda eartel
 
Huyo mwizi ndg yake Gwajima awe na huruma hivyo.yani aibe akimbie umtumie msg arudi haraka eneo la tukio kurudisha vitambulisho?
 
Ni kweli kaka, nimewatumia meseji hii,

Najua mmefanikiwa kuniibia, naombeni mnirudishie vitambulisho vyangu mvitupie tu hapa,

Nilituma kwenye namba yangu ya simu waliyoiba, maana nina simu mbili,
Wamenielekeza walipoweka vitambulisho, ndo nimevichukua.

Wamesema but simu wamekomaa nayo
Duuh! Pole aise wana roho mbaya wamekurudishia vitambulisho! Kwel wamedhamiria
 
Habari wana JF,
Naamink hapa ni suluhisho la mambo mengi,
Nimeibiwa simu yangu Smartphone aina ya TECNO BOOM J8, ina taarifa zangu nyingi muhimu sana,
Naomba msaada wenu wa namna ya kumtrack huyu kibaka,
Pia wameniibia Card za benki, vitambulisho na driving licence.
Walikata nyavu ya drisha na kufanikiwa kuniibia,
Naombeni mawazo yenu wakuu!
wapi maeneno gani sehemu gani na mtaa gani
 
Huyo mwizi ndg yake Gwajima awe na huruma hivyo.yani aibe akimbie umtumie msg arudi haraka eneo la tukio kurudisha vitambulisho?
Ni vibaka wa mtaani, ndiyo maana wamenielekeza kwenye pagare (nyumba ambayo haijaisha kujengwa) nikachukue kitambulisho na kweli nimevikuta, wao nia yao ni simu na pesa.
 
wapi maeneno gani sehemu gani na mtaa gani
IMG_20170427_062751.jpg
simu nilikuwa nayo kitandani hiyo ni chandarua wameikata nikiwa usingizini
 
Nenda police kuna kitengo unalipa 100,000 pamoja imei namba wana track simu na kumkamata mwizi ndani ya 24 hrs. Hata kama wameuza atakamatwa aliyepo nayo yeye ataeleza na kulipa gharama zote
 
We nenda polisi nna hakika kama unayo imei ya sm watweza kukusaidia au watakuelekeza sehem sahihi. Mm sijui kuhusu haya mambo kwa undan ila tu nilitaka kukuambia kitu kinachowezekana ambacho mm nimekishuhudia
Inawezekana ni polis wenye icho kitengo au hawa watu wa mitandao yani tigo na voda eartel
Unaweza ulifuta au kuzima kama uli fanya incription
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom