Namna ya kudownload nyimbo ambazo hazina option ya kudownload!!

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
14,533
31,678
Wadau katika kupita pita kwenye website za muziki nimekutana na nyimbo ambazo nazihitaji, ila zina option ya kuplay online tu!

Hapa nimehangaika kutafuta app nimeshindwa, natumia simu! Nadhani kwenye pc IDM huwa inaweza kucapture audio ikiplay tu! Vipi kwenye simu naweza vipi kidownload hizi nyimbo!!

Natanguliza shukrani!!
 
Naona kama ameshindwa tu kujieleza..ngoja mi nijaribu kufikiria hoja yake..ni zile video ambazo zimepigwa pin au zinahitaji kulipia ili uzipakue.
 
sio lazima udownload kwenye hiyo site as long as umepata jina la wimbo na la msanii basi ingia kwenye sites nyengine zinazo-provide direct link downloads au ingia youtube utafute kisha ukipata link unaiconvert from youtube to mp3 online kisha unajipakulia bure.
 
Hiyo ninayo..ila naona inadownload nyimbo zilizopo youtube tu!!
au kuna namna ya kufanya?
Kama unayo sńaptube ifungue then type hiyo site pale juu sehemu ya kuweka website.
Ikishafunguka play nyimbo unayotaka ikianza kucheza tu snaptube itakupa option ya kudownload.
Kumbuka kufungua hiyo site kwenye sńaptube na siyo kwenye browser zingine.
 
Mkuu nahitaji ule wimbo wa nimekusamehe lkn sitokusahau wanaupigaga redio free kwenye kipindi chao cha sitosahau.
 
sio lazima udownload kwenye hiyo site as long as umepata jina la wimbo na la msanii basi ingia kwenye sites nyengine zinazo-provide direct link downloads au ingia youtube utafute kisha ukipata link unaiconvert from youtube to mp3 online kisha unajipakulia bure.
Mkuu hizo nyimbo youtube hazipo..na siyo video!
 
Kama unayo sńaptube ifungue then type hiyo site pale juu sehemu ya kuweka website.
Ikishafunguka play nyimbo unayotaka ikianza kucheza tu snaptube itakupa option ya kudownload.
Kumbuka kufungua hiyo site kwenye sńaptube na siyo kwenye browser zingine.
Asante mkuu..njia yako imework..shukrani sana!!
 
Back
Top Bottom