Jinsi gani ya kutumia router kwenye smart TV?

Mgjd

JF-Expert Member
Feb 19, 2012
532
132
TAFADHALI WATAALAMU MLIOMO HUMU, NAOMBA MUONGOZO JINSI YA KUTUMIA ROUTER KWA SMART TV,.. JE, NIKIWA NA ROUTER PEKEE INATOSHA? AMA HADI NIUNGE NA MODEM? NA KAMA NDIVYO, KWAMBA NI LAZIMA NIWE NA MODEM, NI MODEM ZIPI, NA ROUTER GANI NDIYO ZAFAA?? TAFADHALI, MNIFUNZE NI MGENI KABISA WA MAMBO HAYA...
 
ndiyo lazima uwe na modem kama unataka kutumia internet maana router inakuwa kama interface kati y wew na modem ila modem ndo inayokuunganisha kwenye internet, ila kama unataka shortcut basi hata unaweza ukatumia wi-fi hotspot ya simu na mambo yakawa yaleyale
 
Asante kwa msaada, nitafanya hivyo.
 
TAFADHALI WATAALAMU MLIOMO HUMU, NAOMBA MUONGOZO JINSI YA KUTUMIA ROUTER KWA SMART TV,.. JE, NIKIWA NA ROUTER PEKEE INATOSHA? AMA HADI NIUNGE NA MODEM? NA KAMA NDIVYO, KWAMBA NI LAZIMA NIWE NA MODEM, NI MODEM ZIPI, NA ROUTER GANI NDIYO ZAFAA?? TAFADHALI, MNIFUNZE NI MGENI KABISA WA MAMBO HAYA...

Kuna Router za aina tatu katika Context ya swali lako!

1. Kuna Router zile ambazo zinaingiza Line e.g zile za 4G wanazouza Tigo,TTCL,Zantel,Smart na Vodacom au hata 3G routers kama zile za Halotel.
Hii ndo option nzuri,affordable ya kununua especially hizo za 4G!
Screenshot_9.png

2. Kuna Router ambazo haziingizi line na hizi lazima uwe External Internet source kama Modem au Wired connection.

HSDPA_HSUPA_3G_Router_s.jpg

3.Kuna ambazo zinaweza kuwa both 1 na 2 e.g Router ya Smile ambayo inapokea na Telephone Line lakini pia ina Slot ya simcard.
Screenshot_10.png
 
ndiyo lazima uwe na modem kama unataka kutumia internet maana router inakuwa kama interface kati y wew na modem ila modem ndo inayokuunganisha kwenye internet, ila kama unataka shortcut basi hata unaweza ukatumia wi-fi hotspot ya simu na mambo yakawa yaleyale

Unataka kumaanisha nikiwa na Router ya Smile lazima niwe na Modem?
Sio kweli
 
endelea kutupa maarifa mkuu ,nilipoona id yako hapa nikatuliza akili
Kuna Router za aina tatu katika Context ya swali lako!

1. Kuna Router zile ambazo zinaingiza Line e.g zile za 4G wanazouza Tigo,TTCL,Zantel,Smart na Vodacom au hata 3G routers kama zile za Halotel.
Hii ndo option nzuri,affordable ya kununua especially hizo za 4G!
View attachment 496740

2. Kuna Router ambazo haziingizi line na hizi lazima uwe External Internet source kama Modem au Wired connection.

HSDPA_HSUPA_3G_Router_s.jpg

3.Kuna ambazo zinaweza kuwa both 1 na 2 e.g Router ya Smile ambayo inapokea na Telephone Line lakini pia ina Slot ya simcard.
View attachment 496741
 
K

Kuna ROUTER ZINAZOUZWA MADUKANI, AMBAZO SI ZA MAKAMPUNI YA SIMU, MFANO, T-LINK ROUTER MR3420, D-LINK CLOUD WIRELESS ROUTER N300, ZXELY NBG-416N,.. JE, HIZI ZAWEZA KUWA TTOFAUTI NA HIZI ZA MAKAMPUNI YA SIMU?
 
Hizo ni Category #2 zinaitaji Uchomeke modem
 
Mie na smart tv na nilikua na tumia pocket WiFi kama hio kwenye picha juu nikai poteza asaivi natumia simu na share internet ya simu kwa TV nakula youtube kama kawa ni raisi saana sio lazima ma router hayo yote tumia simu tuh
 
Kuna Router za aina tatu katika Context ya swali lako!

1. Kuna Router zile ambazo zinaingiza Line e.g zile za 4G wanazouza Tigo,TTCL,Zantel,Smart na Vodacom au hata 3G routers kama zile za Halotel.
Hii ndo option nzuri,affordable ya kununua especially hizo za 4G!
View attachment 496740

2. Kuna Router ambazo haziingizi line na hizi lazima uwe External Internet source kama Modem au Wired connection.

HSDPA_HSUPA_3G_Router_s.jpg

3.Kuna ambazo zinaweza kuwa both 1 na 2 e.g Router ya Smile ambayo inapokea na Telephone Line lakini pia ina Slot ya simcard.
View attachment 496741
Tafadhali naomba mawasiliano yako
 
Back
Top Bottom