Nitawezaje ku-draw hela kwenye account ya Paypal

Nitawezaje ku-draw hela kwenye account ya Paypal

longT

Member
Joined
May 10, 2012
Posts
33
Reaction score
17
Hi, naomba minijuzee jinsii ya kutoa pesa paypal, nimekua nikifanya freelancing kwenye website na nimefikia kupata $200 per week(sio nyingi ila nikitu). shida yangu sasa hivi ni jinsi ya kuzitoa.. website nayotumia wana njia mojaa tuu, kukutumia kwa paypal. So any tips on this wakubwaa,?
 
Transferring funds from PayPal to bank accounts is limited in accounts based in some countries (Tanzania included). The only way you can withdrawal that money transferring the money to bank account(see above) or by getting a paypal card(which I'm not sure it's available in Tanzania based accounts).
 
Hi, naomba minijuzee jinsii ya kutoa pesa paypal, nimekua nikifanya freelancing kwenye website na nimefikia kupata $200 per week(sio nyingi ila nikitu). shida yangu sasa hivi ni jinsi ya kuzitoa..

website nayotumia wana njia mojaa tuu, kukutumia kwa paypal. So any tips on this wakubwaa?
Unabei kiasi gani kutafutie Paypal Master card inayopokea malipo?
 
Mkuu nivizuri nikajua kama izo master card zinaruhusiwa tz, sitakii kufanya ya madili alaf badae waisimamishe, plus ukiandikaa process za kuipataa nadhani itakuwa bora kwangu na jamii forum wengine, nilitengeneza paypal account kwa kufuata steps apa in 2012, so sambaza upendo na maarifa kaka
 
mkuu nivizuri nikajua kama izo master card zinaruhusiwa tz, sitakii kufanya ya madili alaf badae waisimamishe, plus ukiandikaa process za kuipataa nadhani itakuwa bora kwangu na jamii forum wengine, nilitengeneza paypal account kwa kufuata steps apa in 2012, so sambaza upendo na maarifa kaka

Umenifurahisha sana unawaza kila kitu ni cha dili
ngoja niku brief kwamba hiyo service kwa Tanzania hamna hauwezi ku draw kutoka hiyo acct yako kwa kutumia Bank za hapa Kwetu....

Nachoweza kukushauri ili usiumize kichwa nenda Ebay nunua kitu chenye thamani ya hiyo hela

Alternatively hii service wanatoa EQUITY BANK KENYA so jiongeze hapo kama unaweza
 
Okay.. sikuizi vitu vya dili vingii kaka.. anyway jee nikaamua kumtumia mtuu izoo pesa then ye anitumie kwa western union si poa? nachoulizaa ni si tunaweza kumtumia mtu ela kutoka paypal, au na iyo tz tunabaniwaa?its risk but i know family or two wanaoweza kunisaidia kwa dizain iyo
 
okay.. sikuizi vitu vya dili vingii kaka.. anyway jee nikaamua kumtumia mtuu izoo pesa then ye anitumie kwa western union si poa? nachoulizaa ni si tunaweza kumtumia mtu ela kutoka paypal, au na iyo tz tunabaniwaa?its risk but i know family or two wanaoweza kunisaidia kwa dizain iyo

Yaah unaweza kumtumia Mtu lkn hakikisha nae nchini kwao wanaruhusu apokee hela lkn atakatwa 5% ya 200$
Kama ni ndugu yako au jamaa yako hawezi kukutapeli hela hiyo hivo atakutumia kwa WU

Ila ushauri wangu pia uconsider unaweza agiza kitu vha kukusaidia kutoka Ebay/Amazon
 
Hi, naomba minijuzee jinsii ya kutoa pesa paypal, nimekua nikifanya freelancing kwenye website na nimefikia kupata $200 per week(sio nyingi ila nikitu). shida yangu sasa hivi ni jinsi ya kuzitoa.. website nayotumia wana njia mojaa tuu, kukutumia kwa paypal. So any tips on this wakubwaa,?

Kuna kadi inaitwa pioneer VISA, jisajiri watakutumia kwa njia ya posts Kuja Tanzania Kisha ukishai activate una transfer PayPal money into it then ukienda kwa any VISA ATM kama CRDB, NMB au Barclay unatoa hard cash.

Mimi nnayo hiyo card hapa Dar. http://www.payoneer.com/
 
Ntaichekii hii kitu then inaweza kuwa njiaa bora mana WU wanakataa ela nyingi
 
Ebay hatakua fresh sanaa kwangu bro, sababu natakaa niache kazi niwe napiga hi freelancing, so all the bills zitabid ziwe zinalipiwaa na hii kitu, so products hazitanitoa sanaa
 
Wanakuchosha tu hawa. Tafuta mtu anaishi Ulaya kwenye nchi wanazokubali paypal, hamishia huko, na kisha mwambie atoe akutumie kwa western union. ukiwa unamwachia kichache hawezi kataa
 
Shukrani sanaa.. nadhani ikiendelea hivii jamii forum inatakiwa ipewe awards kibao manaa tunachukua elimu na maujuzi mengi apaa...
 
Kaka nimefuatiliaa hii njiaa ndo bora na nafuu kwangu.. espc web nazotumia ni fiverr, odesk na elance ambao teyar wapo patner na pioneer... so much thenx, na cost zake ni chinii kulikoo paypal plus mastercard au visa haina maintanace fee.. only 5$ flat price ukitoa elaa na 1$ ukiwekaa (any amount)
 
Hebu nipe mchongo unaofanya mpaka ukapiga iyo $200 naweza fanya pia kujiongezea kipato, mcie napenda pesa hatari....please, funguka mkuu
 
Kuna kadi inaitwa pioneer VISA, jisajiri watakutumia kwa njia ya posts Kuja Tanzania Kisha ukishai activate una transfer PayPal money into it then ukienda kwa any VISA ATM kama CRDB, NMB au Barclay unatoa hard cash.

Mimi nnayo hiyo card hapa Dar. http://www.payoneer.com/

Faida za hyo card ni zipi??
 
Mi nafanyaa cms za joomla na WordPress. . At middle quality I can say kwa 100$ per web.. so so far naweza fanyaa web mbili tuu kwa wikii. . Web nazotumiaa ni elance na fiverr.. freelander nilitry nkashindwaa lot of competition
 
Freelander au Freelancer?
 
Kaka nimefuatiliaa hii njiaa ndo bora na nafuu kwangu.. espc web nazotumia ni fiverr, odesk na elance ambao teyar wapo patner na pioneer... so much thenx, na cost zake ni chinii kulikoo paypal plus mastercard au visa haina maintanace fee.. only 5$ flat price ukitoa elaa na 1$ ukiwekaa (any amount)

29$ per yr wewe hamna simple lige hivo Pia hauwezi wakwepa PayPal ukipokea hela wanakata yao 5%
 
Yenyewe ni boraa kaa unalipwaa onlinee.. au unalipaa online watu.. ambao unajuaa specfc acxounts zao.. so far najua ivyoo paypal nadhan ni best kwa kununuaa vitu online..

ESPC kwa watu usio wajuaa soo kwa ifahamu wanguu inabidii ujuee unafanyiaa nin.. elance na fiverr wote wanaa partnership na hii card. Na unachoitaj kujiungaa ni drive licence au passport.
 
Back
Top Bottom