ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,662
Leo katika pita pita kwenye kupatana nimekutana na hii.....nikasema ngoja niisome nilipo soma mpaka mwisho nikaona kwa vile mimi nina DSTV ISIWE tabu ngoja niwapigie hawa watu
Nikaongea nae na akanambia kuwa wao wana unlock vifurushi vya aina mbili DSTV PREMEUM NA COMPACT PLUS.....Nikauliza Gharama zake je akasema Gharama ni premeum ni 75 elfu na compact plus ni 60 elfu
Nikauliza malipo inakuwaje.....akasema wakati anakaribia kufika mwisho itanibidi nimpe 42 elfu kwa ajiri ya kupata code kwa premeum na 36 elfu kwa compact plus.....then naweka code baada ya hapo namalizia pesa!
Wakasema naweza kwenda ofisini kwao au wao wakja au kwa njia ya mtandao
Wakasema inadumu kwa muda wa miezi 12........sasa swali langu ni Je kweli hii huduma ni ya kweliii??? Inamaana hadi sasa DSTV HAWAJAGUNDUA? NA kwann hawa Jamaa wanafanya kwa kujiamini
Sasa Nauliza Jamani hii ni kweli kabla sijafanya hvyo!