Mambo makubwa unayoweza faidika nayo ukiwa na VLC media player.

mwaminifuhalisi

JF-Expert Member
Feb 26, 2017
329
419
Kufanya Livestreaming kutoka kwenye kompyuta yako kwenda kompyuta nyingine au simu(smartphone)
Kama unatazama video au unasikiliza audio kupitia vlc basi unaweza fanya vifaa vya watu wengine kama simu au kompyuta zingine kuweza kuona mubashara kabisa kile ambacho unakitazama, ili uweze kutengeneza livestreaming station kupitia vlc fanya yafuatayo.

- Kompyuta yako na vifaa vinapaswa viunganishwe kwa kutumia WIFI hotspot moja ambayo inaweza kuwa ya simu au kompyuta.

-Fungua VLC media player yako, na kwenye menu bonyeza sehemu iliyoandikwa media na utaona sehemu iliyoandikwa "Stream", bonyeza na itatokea window kama hii
vlc2.PNG

-kisha bonyeza hiyo sehemu iliyoandikwa "add" kuweka file ambalo unalotaka ku-stream.
-Baada ya hapo bonyeza button sehemu iliyoandikwa stream ambapo itakuletea dialog ifuatayo,
vlc3.PNG

-Kisha bonyeza button iliyoandikwa NEXT ambayo itakupeleka sehemu ambayo unayotakiwa kuchagua protocol.
-Utaona "Dropdown" menu ambayo ina protocols kazaa, unapaswa uchague protocol ya HTTP na kisha upande kulia utaona button ya add ibonyeze ili kuongeza hiyo protocol.
-uki-add itatokea namba ya poti(port) ambayo by default ni 8080,unaweza badili au ukaiacha kama ilivyo.
vlc4.PNG

- kama uonavyo picha hapo juu, kisha hiyo sehemu ya transcoding options itoe(uncheck) hiyo alama ya tick, kisha bonyeza next, baada ya hapo usijaze chochote ila bonyeza button iliyoandikwa stream na kuanza kurusha video au audio mubashara kabisa.

NB: Unatakiwa ujue IP address ya kompyuta yako ili vifaa vingine viweze kustream file lako, ili kufahamu ip idress yako fungua cmd(command prompt)
kisha andika code ifuatayo
Code:
ipconfig /all
utaona IP yako mfano 192.168.43.1, kwa sababu ulichagua port number ya 8080 basi kifaa kingine chenye VLC watapaswa waingize IP mtindo huu, 192.168.43.1:8080
-basi hapo wataweza kuona video ama file lolote unalostream.

Next: nitaonyesha jinsi ya kudownload video za youtube kwa kutumia vlc, kustream webcam ya kompyuta yako kwa VLC na jinsi ya kutengeneza internet Radio kwa kutumia VLC media.

hakika VLC ni bonge la open source software.

ina Anaglyph 3D option kwa wale wadau wa Red/Cyan 3D movies...siitaji players ingine..
 
nielekeze plz?
-kwenye menu bonyeza media
-utaona sehemu imeandikwa convert/save bonyeza,
-itakuja sehemu ya kukutaka ku-add file unalotaka convert
-halafu utabonyeza sehemu ya convert/save button
-itatokea dialog ya kutaka kuchagua sehemu yoyote ya kusevu
-sevu kwa kuandika jina unalotaka ikifuatiwa .mp3, mfano muziki.mp3
-unaweza kuanza kuconvert video yako na kuwa mp3
 
Kufanya Livestreaming kutoka kwenye kompyuta yako kwenda kompyuta nyingine au simu(smartphone)
Kama unatazama video au unasikiliza audio kupitia vlc basi unaweza fanya vifaa vya watu wengine kama simu au kompyuta zingine kuweza kuona mubashara kabisa kile ambacho unakitazama, ili uweze kutengeneza livestreaming station kupitia vlc fanya yafuatayo.

- Kompyuta yako na vifaa vinapaswa viunganishwe kwa kutumia WIFI hotspot moja ambayo inaweza kuwa ya simu au kompyuta.

-Fungua VLC media player yako, na kwenye menu bonyeza sehemu iliyoandikwa media na utaona sehemu iliyoandikwa "Stream", bonyeza na itatokea window kama hii
View attachment 474757
-kisha bonyeza hiyo sehemu iliyoandikwa "add" kuweka file ambalo unalotaka ku-stream.
-Baada ya hapo bonyeza button sehemu iliyoandikwa stream ambapo itakuletea dialog ifuatayo,
View attachment 474760
-Kisha bonyeza button iliyoandikwa NEXT ambayo itakupeleka sehemu ambayo unayotakiwa kuchagua protocol.
-Utaona "Dropdown" menu ambayo ina protocols kazaa, unapaswa uchague protocol ya HTTP na kisha upande kulia utaona button ya add ibonyeze ili kuongeza hiyo protocol.
-uki-add itatokea namba ya poti(port) ambayo by default ni 8080,unaweza badili au ukaiacha kama ilivyo.
View attachment 474764
- kama uonavyo picha hapo juu, kisha hiyo sehemu ya transcoding options itoe(uncheck) hiyo alama ya tick, kisha bonyeza next, baada ya hapo usijaze chochote ila bonyeza button iliyoandikwa stream na kuanza kurusha video au audio mubashara kabisa.

NB: Unatakiwa ujue IP address ya kompyuta yako ili vifaa vingine viweze kustream file lako, ili kufahamu ip idress yako fungua cmd(command prompt)
kisha andika code ifuatayo
Code:
ipconfig /all
utaona IP yako mfano 192.168.43.1, kwa sababu ulichagua port number ya 8080 basi kifaa kingine chenye VLC watapaswa waingize IP mtindo huu, 192.168.43.1:8080
-basi hapo wataweza kuona video ama file lolote unalostream.

Next: nitaonyesha jinsi ya kudownload video za youtube kwa kutumia vlc, kustream webcam ya kompyuta yako kwa VLC na jinsi ya kutengeneza internet Radio kwa kutumia VLC media.

hakika VLC ni bonge la open source software.

Utafiti ndio unakomboa taifa
Safi sana
 
JINSI YA KUDOWNLOAD VIDEO KUTOKA YOUTUBE KWA KUTUMIA VLC
kwa muunganiko wa Vlc na browser unaweza kudownload video yoyote kutoka tovuti ya youtube, ili kufanikisha hilo unapaswa ufanye yafuatayo.

- Tembelea website ya youtube.

- Bonyeza video unayotaka kuangalia na kisha copy link yake.

- Kisha kwenye menu ya vlc kama ilivyo hapo juu bonyeza media.

- halafu bonyeza sehemu ya "open network stream" kisha paste ile link ya youtube na play

-Video itaanza kuplay, kwenye menu bonyeza sehemu ya tools na kisha "codec information"

-Chini kabisa ya hiyo window kuna sehemu imeandikwa location, ikopi hiyo link ya location

-Rudi kwenye browser yako na uipaste hiyo link.

-bonyeza ctrl+s kuisave video yako.
 
Pia ukiwa na vlc unaweza kufanya remote control kwa kutumia smartphone pamoja na browser.
 
Mimi naipenda tu Kwa jinsi ilivo rahsi ku add subtitles ya movies mbalimbali
 
Back
Top Bottom