Account yangu ya Instagram imekua hacked na haipo tena.. Msaada kuirudisha

Imposibo_

JF-Expert Member
Feb 1, 2016
2,746
2,121
Wasalaam..

Kama kichwa inavosema.. Account yangu ya Instagram imekua hacked na haipo tena kwa mtaalamu yoyote msaada jamani.. Nilikuwa naitumia ki biashara.. Ndio maana nahiitaji back.. Ningekua naitumia kivingine nisingehangaika nayo..

Ahsante..
 
weka hapa jina la acc niirudishe
 
weka jina la acc yako , password uliyokuwa unaitumia , na picha ya mwisho uliyoweka kwenye profile yako na kama ulitumia email kufungulia weka hiyo email na password yake pia.. ntakurudishia bure tu ila uwe makin na hao hackers uchwara!!!!
 
ni PM username ya account yako..last password you remember....mobile no on ur account then Oveer
 
Back
Top Bottom