Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Jamani shida ni hii, nahitaji kutumia WhatsApp ile ya zamani maana hii mpya naiona ipo kinyume. Kwa anayeweza naomba anipe maelekezo wapendwa ili niirudishe ile ya zamani. Nawasilisha ombi langu...
4 Reactions
78 Replies
28K Views
In 1sec the sun generates more energy than has been used in all of mankind's history. That's alot of energy. This fact demonstrate the incredible amount of power our sun generates. But just how...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, nahitaji sana smartphone yenye camera ambayo uwezo wake upo juu hata kutumia katika masuala ya kibiashara kama vile graphic yake na uwezo wa kuhold apps za 3d. Ila kidogo bei...
2 Reactions
22 Replies
8K Views
Jinsi ya kutumia WIFI kwa kutumia Moderm ya Airtel... Huawei Wingle
0 Reactions
0 Replies
507 Views
Wandugu wana JF naomba msaada wenu kama naweza kubadilisha kioo cha TV yangu singsung inch 25.
1 Reactions
0 Replies
3K Views
HABARI! Nauliza kwamba je kuna uwezekano wa kupata namba ya mtu aliye fb ambaye hakuiweka hadharani?
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu nina huawei G610-U20 inajizima na kujiwasha hovyo nimejaribu kuirestore kawaida imegoma,,nikiwasha kwa kuhold volume down na bottun ya kuwashia ina vibrate tu laikin yale maandishi ya...
0 Reactions
1 Replies
801 Views
Habari, Wadau leo wapo wafanyakazi ambao kesi/migogoro kati yao na serikali imeshasikilizwa lakini ni zaidi ya miezi mitatu sasa wengi hawapati maamuzi kwa kuzungushwa na hao waamuzi wa tume ya...
0 Reactions
1 Replies
673 Views
Kiukweli hapa nina mzigo wa G'FiVe G10 fashion natafuta firmware yake lakin kulingana na kuwa hautaki kuwa installed ktk pc nikaona sio vyema ngoja niufungue nicheck chip gan unatumia?????
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kila kukisha nasikia hawa wamefanya majaribio ya siraha za Nyulkia na kufanikiwa, sasa hayo majaribio yanafanywaje yaan? au kuna sehemu wanalipua huo kusikokuwa na watu na kuona wamefanikiwa au...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
polen na kaz wakuu kuna tecno l8 hapa inazingua... yan niliirestore sasa inapoanza upya,kwenye primary settings pale mwanzo yan kuselect language unachagua vizuri,ikitoka hapo ileta page...
0 Reactions
2 Replies
652 Views
Msaada pc ukiangalia video inaganda baada ya mda ka ina stream shida ni nn eti wakubwa
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Habari za Jumapili waungwana... Naomba mwenye key activator za windows 10 enterprise..wanitumie (wanisaidie ) kama kuna mtu anazo.. naamini wale wenueuelèa wa haya mambo wamenielewa vizur. shukran.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Assalama aleikum, Waungwana sina mengi ila naomba sana mwenye kujua alipo fundi wa kutengeneza ( replace) screen za smart TV za samsung anisaidie ... maana yangu ilipasuka na kwa kweli nahitaji...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
The best online pool game in the entire world yet, Nimekua nikicheza hili game kwa muda mref sana sababu n zur sana na ni real, lengo la kuweka uzi huu ni kwa wale ambao ni ma fans wa hili game...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za majukumu wanajukwaa!! Kwa mara nyingine nakuja kweny jukwaa hili endelevu nikiomba msaada. Ni hivi baada ya kujipinda na mie nikaweka chini chogo na kuvuta Samsung Smart TV model 4303...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
I have washing mashine INDESIT WIXL 143s. I have been using it for the past three years;unfortunately recently, some parts including the bearings and pcb (printed circuit board) went wrong! Now...
0 Reactions
0 Replies
554 Views
wakuu msaada wenu tafadhal coz mashine iligoma kufanya kazi ghafla yaani huwa inawaka tuu kwenye keyboard but display haioneshi chochote_ntafurah sana endapo nikipata motherboard ya hii mashine...
0 Reactions
1 Replies
905 Views
Wakuu nauza c9 imetumika miez 6 nataka nibadl upepo wa cm.. Price 300000 but it can be negotiated kiduchu! One thing haina tatizo hata moja kioo kiko bomba kabisa!
0 Reactions
2 Replies
927 Views
Back
Top Bottom