Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Airtel mna customer care mbovu kwenye simu. Okay, nikaona nije dukani kwenu, aisee…! Okay tuache ilo. Sasa hizi 5G router zenu za ZLT X25 zina lifespan ya muda gani? Yangu imeanza kimasihara...
12 Reactions
23 Replies
800 Views
Habari, Naomba tusaidiwe kufikisha ujumbe huu kuhusu huduma ya mtandao wa Airtel. Kwa sasa tuna siku ya tatu hatupati huduma ya intaneti kabisa, lakini kila tunapowasiliana na huduma kwa wateja...
3 Reactions
6 Replies
181 Views
Anonymous
Shida ni kwamba hizi kampuni ambazo zinajihusisha na services za home internet zinakuwa kwanza hazisemiukweli interms of amount ya data unayopata, mfano unaweza kulipa unlimited kwa speed kiasi...
12 Reactions
19 Replies
645 Views
Anonymous (9b22)
Shida ni kwamba hizi Telecom Companies na pia other companies ambazo zinajihusisha na services za home internet hazisema ukweli interms of amount ya data unayopata, kwa mfano unaweza kulipa...
8 Reactions
32 Replies
749 Views
UNAWEZA nambia Kuna ulazima WA Mimi KUWA na router ILI KUWA na unlimited? Je siwezi KUWA monitored nikiwa na unlimited Kwa card ya simu? Kama router ni Kwa ajili ya ofisini na majumbani vipi Kwa...
21 Reactions
87 Replies
4K Views
Wana Jamvi, Habarini. Nimekuwa nikijitahidi sana mwaka huu kutafuta fiber ya TTCL ofisini kwangu. Hii ni jambo ambalo nimehangaika nalo sana. Nimefika ofisi zao na wamesema niombeni mtandaoni...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Tarehe 16.7.2024. Nilliibiwa simu ktk eneo langu la kazi. nikaenda polisi kutoa Taarifa wakanipa RB baada ya hapo nikaambiwa ni subili mpelelezi, kufika kwa mpelelezi, ananiambia kutrack simu kuna...
18 Reactions
61 Replies
4K Views
Anonymous
Airtel kuna kitu wanaendelea kuwafanyia Wateja wao kwenye hizi router zao za 5G siyo kizuri. Wanakwambia kuwa internet ni unlimited ila ukitumia kwa siku 20 internet wanaishusha speed, mfano mimi...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Hello bosses and roses... Wiki hii nimepata changamoto kubwa ya kukosa access kwenye baadhi ya websites ninapotumia intaneti ya mtandao wa Tigo. Shida ilizidi zaidi kupelekea baadhi ya websites...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom