Wakuu nauza c9 imetumika miez 6 nataka nibadl upepo wa cm.. Price 300000 but it can be negotiated kiduchu!
One thing haina tatizo hata moja kioo kiko bomba kabisa!
Habari za Jumamosi wana JF karibuni tena kwenye makala nyingine fupi, leo tutaenda kuangalia jinsi ya kuongeza ulinzi wa simu yako ya android kwa aina mpya ya lockscreen.
Najua wengi wetu tumesha...
Simu yangu ni Tecno Phantom6 Niliinunua October mwaka, ila kwa bahati mbaya leo nimeigonga kioo kwa funguo iliyokuwepo kwenye mfuko wa suruali na imefanya crack kwenye kioo.
Naombeni ushauri...
Habari wana jamvi?
Kama ilivyo ada, leo tumewaandalia video itayo kupa mwanga wewe unayehitajikuanza kujifunza computer programming lakini hujui uanzie wapi!!
Katika video hii, tumeweka lugha...
nimefungiwa fb jana baada ya kuposti picha ya uchi kila nikiingia inagoma pia hyo akaunti ya fb ndio niliyokuwa natumia kuingilia instagram, nilichokuwa naomba nisaidieni hii akaunti ya insta ili...
Habari wakuu,
nilikuwa naomba kujua software ware ipi ambayo ni FREE kupakua katika mtandao ambayo itanisaidia kuchora graphs,hasa za takwimu ambazo sio ngumu ( not complicated mathematics)
Naimani mu wazima wana JF.
Natumia Huawei Y336, nashindwa ku upload picha na video zilizopo kwenye memory card JamiiForums. Lakini social network zingine kama fb, whatssup, n.k inakubali...
Hello wa ndg natuamai nyote wazima. Naomba msaada kwa yeyote aliyewahi kukutana na tatizo hili kwanye cisco router 2911 anipe msaada. An uncorrectable parity error has occured in the tdm switch...
Habari wanajamvi.
Nina tatizo moja na Simu tajwa hapo juu. Nikijaribu kuplay music at backgroud inaplay muda mfupi then inastop. Nimejaribu kuinstall music player Apps mbalimbali lakini bado...
Natumia samsung note 4,tangu nianze kuitumia inakubali kuongeza salio lakini napofikia kutaka kujiunga na kifurushi au kuulizia salio la kifurushi hai'support', kuna bwana nilijaribu kumwomba...
Hiv karibuni kulikua na wimbi la samsung original kufungiwa na TCRA
Simu nzima inasoma line ila haipandishi mtandao. Au inapandisha mtandao ila haipigi, haipokei wala data hupati.
Ukituma imei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.