Wakuu mwenye hii programu Ms Project yakuanzia 2007 na kuendelea naomba anisaidie,nimehangaika sana kuidownload lakini nimeshindwa,mbali na Softonic ua CNet labda ni website gani naweza kuipata...
Habari zenu wanajf
Naomba msaada kwa mafundi wa tv hususani Lg tv yenye sifa hizi
1. Model no 32LC2D-AA
2. Product code 32LC2D-AA.AAULLBD
3. Power AC 100-240V~50/60Hz 1.5A
4. Serial no...
Ninatumia whatsapp version 2.16.13, najaribu kutuma picha katika group but napata mesege kuwa some member wanatumia version nyingine kwa hiyo picha haiwezi kwenda.
Wadau msaada ghafla Tv yangu sasa inaonyesha black and white badala ya kuwa ya rangi kama kawaida yake nimejaribu kwenda kwenye tv mode ili niweze kujaribu kubadili lakini haiendi inaenda tu...
Jamani kuna kitu nilikua nakiwaza sana baada ya mm kulipia kitu kupitia paypal. Na mm ninafanya biashara hapa kwetu tanzania na wateja wangu wengi wako mikoani nataka niwe napokea malipo kupitia...
Wadau,
Kwa mlioko TZ nisaidieni juu ya hili. Je umewahi kutumia hiyo Nduki Gold ya TTCL? Je speed yake ikoje?
Kuna sehemu nyingi TZ kwa mfano Kyela, internet kwa kutumia hizi modems za mobile...
Nilikua online kusoma huku na kule kujua kama naweza kupata software ya kubadili maandishi yawe sauti, hatimaye nimefanikiwa.
Kuna namna tatu kuu unaweza kubadili maandishi kuwa sauti.
1. Online...
At our F8 conference this morning I laid out Facebook's 10 year roadmap and everything we're building to make the world more open and connected.
We announced new technology like Messenger bots...
Toka jana nimekuwa nikiingiza voucher ya University inakataa sijajua kuna tatizo gani , maana nlidhan tatizo ni sehemu nliyopo kwa kuwa ni mtaani labda kuna mabadiliko. lakini leo nipo chuo tena...
Ndugu wana jf , naomba mnisaidie Mwenye kujua niliwahi kuuliza humu application nzuri ya kudownlod video hadi za kwenye YouTube nikaambiwa ni vidmate na videoder Sasa nikifungua kwenye play store...
Samahani wakuu kuna bidhaa nimenunua ebay na nimeilipia. Jana ebay wamenitumia email. Kuwa bidhaa iko shipped to ....wakaweka namba yangu ya simu. Ila sijajua jinsi ya kuitrack na wala sijapata...
Habarini natumia HTC M9 sasa inatumia Android version 5.1 nahisi ndo inaitwa Lollipop sasa nataka ku update kwenda marshMallow ambayo 6.0,Je offical update imetoka? Na ninaomba maelezo Namna ya Ku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.