Naweza kupata whatsapp newest version?

mambucha

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
279
160
Ninatumia whatsapp version 2.16.13, najaribu kutuma picha katika group but napata mesege kuwa some member wanatumia version nyingine kwa hiyo picha haiwezi kwenda.
 
Back
Top Bottom